Search results

  1. ndibuka

    FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

    Sisi huku Mtowiso,Sumbawanga Dc wamekata umeme
  2. ndibuka

    Mapema tu Azam kashaliwa 1 0 huko ethiopia

    Kipa wa Azam ni mpuuzi sana
  3. ndibuka

    Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

    Nakumbuka Jacob Zuma alisema kua,nanukuu,ni mfanyabiashara mjinga pekee ambae hayupo chama tawala
  4. ndibuka

    Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

    Dah!!!!! Kumbe kusagiana kunguni sio huku kwetu Msingipenenge
  5. ndibuka

    Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na...
  6. ndibuka

    Tanzania yatajwa na CNN kama sehemu bora ya kutembelewa kwa mwaka 2023

    Mkuu naomba tafsiri ya hii sentesi..... hua naipenda sana japo sijui maana ake
  7. ndibuka

    CHADEMA yaingia Kahama kwa kishindo, John Mnyika aongoza mashambulizi

    Rukwa ni Mkoa na Nkasi ni moja kati Wilaya 3 za huu Mkoa wa Rukwa.namanyere ni Kata na ndipo makao makuu ya Wilaya ya Nkasi....... karibu sana Rukwa mkuu
  8. ndibuka

    Hivi inakuwaje Makosa ya Timu ya Yanga yanarekebishwa na TFF ? Wajuzi wa Mambo hii imekaaje ?

    Huu uzi hauna maana pasipo@GENTAMYCINE kuchangia
  9. ndibuka

    Aliyepo Mpanda Katavi naomba anijuze moja na mbili za mkoa huu

    Mkuu nenda Mpanda,sie tupo Sumbawanga huku lakini Mpanda imechangamka sana........Kingine ipo karibu Dom,Tabora,Mwanza na Shinyanga pia hapo kuna Machimbo ya dhahabu
  10. ndibuka

    Ushauri: Hivi inatakiwa kukaa na mpenzi kwa mda gani kabla ya ku sex?

    Mkuu unataka uhangaike kama unafatilia mafao NSSF? We kula tunda hilo,mambo ya kuchezeana ni mtambuka
  11. ndibuka

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye A31 Naomba tuwasiliane 0678189789
  12. ndibuka

    Wakazi wa Mkonze Dodoma jiji, barabara ya Iringa, tuna nguzo za REA huu mwaka wa pili zimesimamishwa ila hazina nyaya

    odoDma ndio wapi huko? Napenda kupafahamu namie nipatembelee kupitia Google
  13. ndibuka

    Nilikuwa naogopa kumtongoza; jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

    Everybody has price mkuuu so usidhani ni wanawake wote wako hivyo Note that: simaanishi hela pekee coz hata utu una gharama zake
  14. ndibuka

    Mliowahi kudate na Msichana Mzungu Pitia hapa

    I won't forget mzungu wangu who taught me how to think global when i was local
  15. ndibuka

    Nampa laki 5 ya matumizi kila mwezi, lakini kila siku nalishwa kabeji

    Mara kwa mara ila daily unalishwa kabeji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  16. ndibuka

    George Job: Simba haiwezi mechi za mtoano

    Naona huyu mchambuzi atakua upande ule wa mdogo wake
  17. ndibuka

    Kuna mwenye info zozote humu toka MDH kwa nafasi za Data Officer?

    kua na amani mkuu,hakuna aloitwa kazini mpaka muda huu,kua na subira mambo mazuri yanakuja
  18. ndibuka

    Data Officer MDH

    Mkuu usipotoshe watu,hakuna alokua kazini mpaka muda huu,usipende kukatisha tamaa vijana wenzetu na kuharibu taswira ya taasisi
  19. ndibuka

    Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

    Another one trash is another one treasure
Back
Top Bottom