Search results

  1. Lagrange

    Wizi na utapeli unaofanywa na Makampuni ya kuuza na kusambaza mashine za EFD

    Wakuu Habari, Siku za hivi karibuni wafanyabiashara wametakiwa kupeleka mashine zao za EFD kwa mawakala walio wauzia , Kwa ajili ya "upgrading" na kutozwa kiasi cha fedha (Tsh 80,000). Huu ni muendelezo wa kuondoa mazingira mazuri kwa ajili ya biashara, huu ni ukandamizaji dhidi ya wafanya...
  2. Lagrange

    Naulizia Machimbo ya Spare Parts za Pikipiki Kariakoo

    Habari ya wakti huu wakuu, Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN. Asante.
  3. Lagrange

    Kwanini dunia inakuwa hivi?

    Habari Wakuu ! Mimi ni kijana niliyezaliwa awamu ya uongozi wa Hayati Benjamin Mkapa, nimebahatika kusoma elimu ya msingi, upili na kuhitimisha elimu ya juu awamu ya John Magufuli. Kabla ya kuhitimu elimu yangu ya juu nilijipanga sana, nipate kitu cha kufanya, nilinunua zana za kazi za kupasua...
  4. Lagrange

    Uchaguzi 2020 Moyo wangu utafurahi sana huyu Mwanamama akishindwa Oktoba

    Habari wakuu, Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake. Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya. Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda...
  5. Lagrange

    Mamlaka ya anayekulisha

    Habari wakuu !!,, Leo nataka nitoe muongozo kidogo juu ya mamlaka ya anaye kulisha,,.Anaye kulisha kila siku ana mamlaka juu yako ya kukutuma ,kukuagiza ,kukupangia kazi ,kukupa maelekezo bila kujali wewe ni nani na yeye ni nani.. Poleni na changamoto za korona.
  6. Lagrange

    Ufafanuzi Kuhusu Upepo Wa Kisulisuli

    Habari wakuu!! Niwe mkweli upepo wa kisulisuli ndo nimeusikia siku za karibuni toka kuzaliwaa kwangu, kusoma kwangu kote sijawahi usikia Kwa mwenye uelewa na huu upepo ,naomba anipe ufafanuzi kidogo. Nipo njia panda
  7. Lagrange

    Mwenza wangu hataki kabisa nifanye kazi ya kuendesha bajaji

    Wakuu Habari,, !!!,, Kwa walioko mapumziko hongereni sana, kwa waliko kazini pia hongereni sana. Niende kwenye mada::, Maisha yamekuwa na changamoto sana,, unatafakari hili na lile upate namna nzuri ya kuendesha maisha na kuwa na vitega uchumi vingi lakini bado unakosa support ya kimawazo...
  8. Lagrange

    Jinsi ya kurekebisha tendegu la kitanda

    Natumai wote ni wazima wa afya, wenye hali tofauti Mungu awajalie wepesi ,mrejee katika hali njema. Niende moja kwa moja,,Maisha ni safari ndefu sana iliyo jaa milima na mabonde ,kuna wakati wa raha kuna wakati wa shida. Kuna watu hawabembelezi shida wanabembeleza raha tu. Tuko tofauti Nikiwa...
  9. Lagrange

    Miji midogo ya Nyanda za Juu Kusini imeendelea sana kuliko ya Kaskazini

    Habarani Wakuu,, Niende kwenye mada moja kwa moja ,kwa uzoefu wangu wa kuishi nyanda zote za Tanzania kusini na kaskazini, nahitimisha kwa kusema miji midogo ya nyanda za juu kusini imechangamka sana kushinda ile ya kaskazini. Miji ya midogo ya kusini kama Mafinga ,Makambako Tunduma na...
  10. Lagrange

    Nataka niwafanyie wanangu wa kiume tohara mwenyewe. Ushauri tafadhali

    Habarini Wakuu,,,,, poleni sana kwa mihangaiko ya maisha . Poleni sana pia kwa kipigo cha Taifa stars na Harambe stars ,,,Niende kwenye mada husika Zimebaki wiki mbili shule zifunguliwe lakini bado naimani naweza kuwatahiri wanangu wawili wa kiume na wakapona mapema kabla ya tarehe ya kufungua...
  11. Lagrange

    Kushinda njaa na kulala njaa ni uzembe mkubwa sana

    Habari ya wakati huu wana jamii forum. Awali ya yote nipende kumshukuru Mungu kwa wakati huu alio tupa tena. Niende moja kwa moja kwenye mada ,nimekuwa nikisikia hapa jukwani na mtaani watu wakitoa shuhuda kuwa wameshinda njaa au kulala bila bila ,kwa sababu ya kukosa kitu chakula . Nami pia...
  12. Lagrange

    Je ni sahihi kutolea mkopo fungu la kumi?

    Wakuu habarini za wakti huu? Nikiwa nasikiliza mahubiri redioni kama kawaida yangu ,nimeshutushwa na mahubiri ya leo ya Mchungaji Mpachi katika kituo cha redio cha Rock fm hapa Mbeya . Mtumishi huyu wa Mungu anasema ni sharti unapo chukua mkopo uupeleke madhabahuni ukanenewe maneno ya baraka...
  13. Lagrange

    Citizen FM VS CLOUDS FM

    Yangu matumaini kila mmoja wetu humu ni mzima wa afya tele, wale ambao kidogo mambo hayako sawia Mungu awape wepesi katika hali walizo nazo ,, Niende moja kwa moja kwenye mada ,binafsi napendelea zaidi kusikiliza vituo vya redio vya Kenya kama vile Citizen FM, Milele FM, Mwanedu FM, Pwani fm...
  14. Lagrange

    Wanafunzi wengi wanaosoma shule za binafsi hawapendelei kusoma vyuo vya binafsi

    Habari ya wakati huu popote pale ulipo!!! Niende kwenye mada,, Kwa tathimini yangu niliyo ifanya nmegundua kuwa wanafunzi wengi na hata wazazi wanapenda sana kuwasomesha wanao shule binafsi,, ila inapofikia Kwenye suala la chuo hawavitaki vya private wanataka vya serekali .Kwanini wasitake...
Back
Top Bottom