Wizi na utapeli unaofanywa na Makampuni ya kuuza na kusambaza mashine za EFD

Lagrange

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,088
2,000
Wakuu Habari,

Siku za hivi karibuni wafanyabiashara wametakiwa kupeleka mashine zao za EFD kwa mawakala walio wauzia , Kwa ajili ya "upgrading" na kutozwa kiasi cha fedha (Tsh 80,000).

Huu ni muendelezo wa kuondoa mazingira mazuri kwa ajili ya biashara, huu ni ukandamizaji dhidi ya wafanya biashara, Wakuu hizi kampuni zinafanya wizi wa wazi zikiwa na baraka kutoka TRA.

Kwanini walituuzia mashine zikiwa na mapungufu ili waje wajipatie hela baadae. Huu ni wizi, kwanini TRA wamekaa kimya huu utapeli ukiendelea?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom