Ufafanuzi Kuhusu Upepo Wa Kisulisuli

Ufafanuzi Kuhusu Upepo Wa Kisulisuli

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Posts
2,438
Reaction score
2,868
Habari wakuu!!

Niwe mkweli upepo wa kisulisuli ndo nimeusikia siku za karibuni toka kuzaliwaa kwangu, kusoma kwangu kote sijawahi usikia

Kwa mwenye uelewa na huu upepo ,naomba anipe ufafanuzi kidogo. Nipo njia panda
 
Habari wakuu,,!!

Inaonekana Wewe ni Msikilizaji mzuri sana na wa ' Kutukuka ' mno wa Magic fm Mkuu.
 
Je kisulisuli ni dhoruba? Maana Biblia ninayotumia mimi mtandaoni haitaji kisulisuli badala yake inataja dhoruba.
 
Ndio hapo mkuu tunaomba kueleweshwa na wadau wanao elewa ni nini haswa,,, maana bibilia imetaja upepo wa kisuli suli ila haitoshi kutupa ufahamu ,uwo upepo ni wa namna gani!!!!
 
Habari wakuu,,!!

Niwe mkweli upepo wa kisulisuli ndo nimeusikia siku za karibuni toka kuzaliwaa kwangu, kusoma kwangu kote sijawahi usikia

Kwa mwenye uelewa na huu upepo ,naomba anipe ufafanuzi kidogo. Nipo njia panda
Huo ni upepo uvumao kutoka nyanda za juu za kabisa la MAMA LWAKATALE kuelekea kwa wadada wote wasio olewa
Kwa kasi kubwa ya mitandao
 
Habari wakuu,,!!

Niwe mkweli upepo wa kisulisuli ndo nimeusikia siku za karibuni toka kuzaliwaa kwangu, kusoma kwangu kote sijawahi usikia

Kwa mwenye uelewa na huu upepo ,naomba anipe ufafanuzi kidogo. Nipo njia panda
Kwenye Bible upepo wa kisulisuli wametumia maneno "tempest or Whirlwind" meaning "A violent wind or Windstorm" kwa kiswahili ni dhoruba ya upepo.
 
Ni epepo mkali tu hakuna jipya
hili ndiyo jibu, ni upepo mkali sana, ni sawa na pale wanapoita mlima wa moto, ni jina tu limetumika mlima wa moto, ila ukienda haukut moto, hata kisulisuli ni jina pia, unapewa upako mfano wa upepo wa kisulisuli (mkali sana)
 
Umeeleza saafi. Shida yangu ni hii, kwanini uanze Sentesi na Herufi ndogo?
 
Back
Top Bottom