manengelo

 1. P

  Karibu viatu vya mtumba kwa jinsia zote

  Wakuu habari zenu, karibuni mjipatie viatu vizuri vya mtumba. Napatikana goba centre, ukihitaji picha na maelezo zaidi tuwasiliane. Delivery ipo popote Dar . Mawasiliano 0764 652 155.
 2. mtakahela

  Tupeane mbinu kuhusu fursa za kibiashara zilizopo kwenye utalii

  Habari za majukumu wahangaikaji wenzangu! Naomba kufunguliwa zaidi kimawazo kwa wale wenye kujua biashara ya utalii inavyoendeshwa. Naona fursa ipo kwenye utalii ila nashindwa kutumia. Natamani kutumia rasimali zilizopo kufanikisha jambo hili, mfano kutafuta watalii na kuwaunganisha na...
 3. Lagrange

  Jinsi ya kurekebisha tendegu la kitanda

  Natumai wote ni wazima wa afya, wenye hali tofauti Mungu awajalie wepesi ,mrejee katika hali njema. Niende moja kwa moja,,Maisha ni safari ndefu sana iliyo jaa milima na mabonde ,kuna wakati wa raha kuna wakati wa shida. Kuna watu hawabembelezi shida wanabembeleza raha tu. Tuko tofauti Nikiwa...
 4. milionea wa kesho

  Nimeshuhudia aisee Kilimo kinalipa sana

  Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani. Asikuambie mtu kilimo kinalipa...
 5. Depal

  Msaada wa dental clinic nzuri iliyopo Arusha

  Salaam jf. To cut a story,siku ya alhamisi niliamka salama kabisa ila baadae nikaanza kuhisi kama meno yanakufa ganzi,nikawa nakunywa hot tea nakuwa sawa kwa dk kadhaa then yanaanza tena ila badae nilipojaribu kutafuna kitu nikashindwa. Ikabidi nikamuone dentist mana hali haikua poa, baada...
 6. GEOAFRICA

  Pendeza na mwonekano wa Kiafrika

  Pendeza na mwonekano wa Kiafrika kwa nguo kalikutoka GEOAFRICA DESIGN kwa bei nafuu kabisa tunafanya delivery ya bule kwa walio ndani ya Dar es salaam pia tunatuma mzigo nje ya mkoa 0678425645
Top