Search results

  1. B

    Baada ya serikali ya CCM kutumia nguvu kubwa kuua upinzani bila mafanikio, Nachokiona itazima mtandao siku ya Tarehe 28 Oktoba

    Tangu awamu ya 5 inayoongozwa na John Pombe Magufuli iingie madarakani mwaka 2015, imejitahidi sana kupambana na upinzani kwa kutumia vyombo mbalimbali vya serikali ili kuvunja nguvu ya mashabiki na wanachama wanaounga mkono vyama vya upinzani hasa Chadema. Katika uchaguzi huu CCM walitegemea...
  2. B

    Uchaguzi 2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano 1. Makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% bila sababu maalum tena kwa ubabe. 2. kutunyima...
  3. B

    Msaada wa kisheria kuhusu mikopo katika Mabenki

    Habari za maisha wote mtakaopitia hapa. Ninahitaji msaada kuhusiana na mkopo nilioufanya katika moja ya benki hapa nchini. Mie ni mwajiriwa katika manispaa ya Lindi mwaka wa sita sasa, tangu niajiriwe sikuwahi kufanya mkopo na benki yoyote hadi ilipofika mwaka jana mwezi wa nane nikalazimika...
  4. B

    Kwa walioko Dar, Nauza King'amuzi cha star Times cha Antenna (Chuma)

    Habari wapendwa. Ninauza king'amuzi cha star times cha chuma cha Antenna kwa bei ya Tsh 45,000/=. Sababu ya kuuza ni kuwa ninahama Dar naelekea Kilosa huko antenna hazishiki. Kina channeli za bure nyingi tu kama ITV, Star Tv, Tbc1, channel ten, EATV, Tumaini TV, WRM, n.k
  5. B

    Kuondolewa kwa Baadhi ya chaneli katika king'amuzi cha Azam, Nimkakati wa CCM ili watu watazame TBC.

    Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kutaka kujua nini hatima ya chaneli za ITV, Star TV, EATV, Clouds TV, Capital TV n.k kutopatikana katika king'amuzi cha Azam, nimekutana na mtonyaji toka Lumumba ambaye hapendezwi na kinachoendelea nchini kwa wakati huu na kuniambia kuwa ukimya wa serikali juu...
  6. B

    Kuna nchi zingine duniani zinazotoza ushuru kwenye daraja kama hapa Tanzania?

    Habari wapendwa. Leo nilikuwa mahari fulani na kukawa na ubishi kuhusu vyombo vya moto kutozwa tozo/ushuru katika daraja linalounganisha kigamboni na maeneo mengine ya jiji la Dar kupitia kurasini, wapo waliokuwa wanasema utaratibu huu hutumika sehemu mbalimbali duniani japo walikosa ushahidi...
  7. B

    Mwenye update za ufadhili wa masomo toka china kupitia UTUMISHI?

    Habari wapendwa. Napenda nifahamishwe update zinazohusu scholarship zinazotoolewa na serikali ya china (Ministry of Finance and Commerce MOFCOM) kupitia UTUMISHI..Tunaombeni update wapi zimefikia
  8. B

    Naombeni Old bongo flava hizi

    Please mwenye nyimbo hizi za bongo flava naziomba 1. Mtani jirani - Juma Nature 2. Kicheko tu - BDP 3. Kula kona - Manzese Crew 4. Bosi - BWV (from mwanza kirumba) 5. Haki - Mr II Ft Justine Kalikawe 6. Bamiza - Xplastaz 7. Watu bwana - Zig Zag 8. Ahadi za bosi 9. Ndani ya...
  9. B

    INAUZWA Nauza Microscope mbili za kufundishia

    Habari zenu wadau, nina micoscopea(school microscope) mbili mpya naziuza. anaye hitaji ani PM
Back
Top Bottom