Search results

  1. S

    Miaka 2 baada ya kuhamia CUF na kushindwa ubunge Mafia, Omari Kimbau arudi CCM

    Baada ya kushindwa na Mbaraka Kitwana Dau kule kisiwani Mafia, sasa ameamua kurudi CCM
  2. S

    Hii ndio Mwanza Airport iliyo chini ya Mwakyembe

    Mwenye macho haambiwi ona. MICHUZI: Taswira za uwanja wa ndege wa mwanza
  3. S

    Gesi ya Mtwara: CHADEMA na Serikali ya CCM lao moja?

    Serikali imekaa kimya CHADEMA nao kama chama wamekataa kutoa msimamo wao Zitto na wanasiasa wachache wametoa misimamo yao binafsi lakini hakuna tamko linaloashiria kuwa ndio msimamo RASMI WA chadema ni upi juu ya hili suala sasa inaonekana kuwa eidha CHADEMA na CCM lao moja au ile hoja ya...
  4. S

    Abeid Amani Karume: Upi ulikuwa msimamo wake juu ya Muungano?

    Wakuu, Naomba mwenye ufahamu anijulishe Marehemu Abeid Amani Karume (04/08/1920 - 07/05/1972) alikuwa ana msimamo gani juu ya Muungano wa Tanganyika? Kuna maandiko yake yoyote juu ya mawazo, filosofia na msimamo juu ya muungano huo toka kwake moja kwa moja ama toka kwa waandishi walio...
  5. S

    Kama CCM si safi & Hakuna aliye msafi ndani ya CCM....

    Huyu anafanya nini ndani ya CCM? Na kwa wanaompenda wanatete vipi hoja ya huyu kuwa ni CCM damu? Kweli inawezekana mtu akawa ndani ya CCM na akawa msafi?
  6. S

    Kumbe Tanzania inazo Nuclear codes?

    Tazama huyo jamaa wa JWTZ kabeba FOOTBALL kama wanayobeba jamaa wa Obama ambayo ina nuclear codes au ushamba wangu? sasa kama ikitokea ishu na jamaa mkono uko bize na hicho kibegi nani atamsaidia rais? watu wenye kujua mabo haya hebu nifahamisheni Ya kwetu hii hapa: ya kule kwa Obama hii...
  7. S

    Mpiga picha wa Rais ni nani kati ya hawa?

    Freddy Maro Issa Michuzi Directorate of Information Nauliza kwa sababu picha akipiga Michuzi hatuoni jina lake lakini Freedy Maro tunaona jina linawekwa sasa kwa nini hili suala haliwi simple tuu kuwa picha na KURUGENZI YA MAWASILIANO IKULU? Zaidi tazama hapa: IKULU BLOG | Kurugenzi ya...
  8. S

    Press conference ya Farrakhan UN jana

    http://youtu.be/qNLqQ2cN-PA Sometimes I wish tungekuwa na fearless leaders like him. He goes in on Hillary Clinton kuja Tanzania na aliyoyasema alipokuja
  9. S

    Urban Pulse UK na Ubalozi acheni uhuni

    Hawa ni vijana wakiTanzania wajasiria mali walioko UK na shughuli zao kubwa ni kupiga video za matukio etc Sasa takriban mwezi mmoja na uchee walipiga video pale kwenye mkutano wa diaspora na kutokana na taarifa zilizopo kuwa waliitwa na Tanzania Association UK pamoja na Ubalozi ambao walikuwa...
  10. S

    Shubaka ni nini kwa English?

    najaribu kujiuliza hivi shubaka ni nini kwa English nadhani inaweza inaweza ikawa ni katika jamii ya samani lakini siijui ni nini
  11. S

    Patna wa uvuvi

    Natafuta patna kwenye biashara ya uvuvi ninayo leseni ya kuniruhusu kuvua kwenye pwani ya Tanzania. au kama kuna mtu anayo data base ya makampuni ya nje yenye nia na shughuli hii pevu ya kuvua basi mimi naatikana kwenye anuani hiii: magomeni@gmail.com lakini kwa faida ya wengine...
  12. S

    Biashara ya procurement

    Inasemekana Manji ana jeshi la watu kama 70 hivi wote kazi yao ni moja tuu kubid tenda zote za serikali ya TZ kwa kutumia shell companies sasa nauliza mtu unainawezaje kuingia kwenye hiii game ya procurement za serikali kama manji? of course unaweza kuingia kama supplier lakini what...
  13. S

    selebriti

    eti hii imekaaje? Mange Kimambi vs Julius Mgaya aka KIM - Wazalendo Forums inaonekana kule kwenye source mwenyewe aliifuta lakini wenzie walimzidi kete I hope next time atakuwa makini zaidi. In the meantime hii eti mnaionaje au ndio mambo ya kuchafuana?
Back
Top Bottom