Kama CCM si safi & Hakuna aliye msafi ndani ya CCM.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama CCM si safi & Hakuna aliye msafi ndani ya CCM....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saracen, Oct 28, 2012.

 1. S

  Saracen Senior Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyu anafanya nini ndani ya CCM? Na kwa wanaompenda wanatete vipi hoja ya huyu kuwa ni CCM damu?

  [​IMG]

  Kweli inawezekana mtu akawa ndani ya CCM na akawa msafi?
   
 2. h

  hacena JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  haiwezekani kuwa msafi na kubaki ndani ya CCM, huyu ni mpenda madaraka, muoga na mnafiki. J.K Nyerere alionyesha wazi kama angeendelea kuishi kidogo angeondoka CCM.
   
 3. c

  cencer09 JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,332
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  mkuu kuwezi kupata mtu msafi ndani ya ccm,mwangalie Magufuli alikuwa waziri wa ardhi na makazi,alihusika kujiuzia nyumba za serikal ikwa bei ya kutupa wao,familia zao na mahawara zao,na hata leo akiulizwa anatetea.
  Kimaro alitaka kupeleka hoja ya nyumba za serikali zirudishwe akapingwa,magufuli shujaa wao jizi tu,Huyo jamaa alidiriki kusema kama tukisema yote kuhusu Richmond serikali inaweza kuanguka,ila kwa sababu ni mpenda madaraka aliamua kukaa kimya na sasa kapewa madaraka kimya,simuonei huruma na ndiyo maana wakataka kumuua ili asije akasema ukweli.
  hakuna msafi ndani ya ccm
   
 4. b

  bwanaharusi Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sasa kwa nini watu wanamtetea huyu?
   
 5. m

  majebere JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hakuna msafi Tanzania sio CCM tu
   
 6. b

  bwanaharusi Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa nini watu hapa JF wanamtetea huyo jamaa hapo juu?
   
 7. S

  Saracen Senior Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  swali gumu jibu jepesi
   
 8. b

  bwanaharusi Member

  #8
  Jan 22, 2017
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  .......
   
Loading...