Biashara ya procurement | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya procurement

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Saracen, Apr 23, 2011.

 1. S

  Saracen Senior Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inasemekana Manji ana jeshi la watu kama 70 hivi wote kazi yao ni moja tuu

  kubid tenda zote za serikali ya TZ kwa kutumia shell companies

  sasa nauliza mtu unainawezaje kuingia kwenye hiii game ya procurement za serikali kama manji?

  of course unaweza kuingia kama supplier lakini what about kama middle man kama anavyofanya huyu manji au itakuwa ngumu maana pesa za kuhonga huyu naamini hakosi

  naomba ushauri tafadhali
   
Loading...