Hii ndio Mwanza Airport iliyo chini ya Mwakyembe

Hii ndio Mwanza Airport iliyo chini ya Mwakyembe

Kisa wanamwanza aliiweka CDM madarakani! Bora wajenge Mwasongwe! Uzuri wana Mza hawana noma hata wachukue majengo ya waweke matenti ya maezeki!
 
Na ile sehemu ya kupokelea mizigo ni aibu tupu. Begi za abiria zinatupwa chini kama hazina thamani halafu wenyewe abiria msagure sagure kama mpo soko la mchikichini...
 
Mkuu kwa nini asifananishe na KIA?
au wewe unatoka Eldoret?
 
Back
Top Bottom