Urban Pulse UK na Ubalozi acheni uhuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urban Pulse UK na Ubalozi acheni uhuni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saracen, Jun 14, 2011.

 1. S

  Saracen Senior Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  http://3.bp.blogspot.com/-xLZklLEPndo/TfVOrdqevqI/AAAAAAAADko/JVaPOwzrceE/s1600/FRANK%2B%2526%2BBARAKA.jpg

  Hawa ni vijana wakiTanzania wajasiria mali walioko UK na shughuli zao kubwa ni kupiga video za matukio etc

  Sasa takriban mwezi mmoja na uchee walipiga video pale kwenye mkutano wa diaspora na kutokana na taarifa zilizopo kuwa waliitwa na Tanzania Association UK pamoja na Ubalozi ambao walikuwa waratibu wa shughuli ya diaspora kuja kupiga video za presentation na matukio

  Lakini baada ya shughuli kumalizika inaonekana kuna Uchakachuaji wa hali ya juu ambao all fingers were directed towards Ubalozi na Tanzania Association chini ya Jogn Lusingu.

  Hawa jamaa wa Urban pulse wamegoma kutoa video walizoshoot za zile presentation ya diaspora baada ya kudai kuwa hawajalipwa mlungula wao na ubalozi pamoja na Tanzania Association. Lakini pia wanadai kuwa hawajalipwa paundi 400 kwa kila presentation iliyofanywa na wahusika kama CBA,NHC,PPF,NSSF, KILIMO KWANZA etc

  sasa najiuliza mbona sie tuliohudhuria hatujadai huo mgao toka Urban Pulse? na kama kuna ukweli ndani yake mbona ubalozi na Tanzania association hawakutuambia kuwa kuna mpango wa pesa?


  Ushauri wa bure kwa Urban Pulse, mmeanza kazi lakini mjue kuwa mwanzo ni mgumu na kwa style hii mlioanza nayo sidhani kama mtafika ...lakini kama kweli mliahidiwa milungula na hamjalipwa then mjue kuwa na sisi wahudhuriaji itabidi tulipwe japo tulichotaka ni ku spead the news na kuwaonyesha waTanzania wenzetu duniani zile presentation !
   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  hawa urban pulse sasa hivi wanajiita "MEDIA GIANTS" i must be living in a different world
   
 3. S

  Saracen Senior Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  I dont think Ubalozi unaweza ukawa ma complicit kwenye uchakachuaji wa Urban Pulse

  lakini you cant rule out anything na watu wetu
   
Loading...