Mpiga picha wa Rais ni nani kati ya hawa?

Mpigapicha ni Fred.
Michu ni Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi kama alivyo Premy.
Kwa nchi zetu ni umasikini tuu unatusumbua kulitakiwa kuwepo na Video grapher wa Ikulu
Producer wa Ikulu
Presenter wa Ikulu
Narrator wa Ikulu
Editor wa Ikulu
Studio ya Ikulu. etc
 
kaka nimetafuta video ya mkutano wa Rais na wa TZ canada sijapata

natafuta video ya mheshimiwa kwenye ziara huko Oman hakuna

sasa nilifkiri Ikulu inayo separate YOUTUBE CHANNEL ambayo tunaweza kupata latest kama vile ile ya whitehouse.gov lakini wapi

sasa haijulikani who is who.
 
Mpigapicha ni Fred.
Michu ni Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi kama alivyo Premy.
Kwa nchi zetu ni umasikini tuu unatusumbua kulitakiwa kuwepo na Video grapher wa Ikulu
Producer wa Ikulu
Presenter wa Ikulu
Narrator wa Ikulu
Editor wa Ikulu
Studio ya Ikulu. etc

1. Narrator wa Ikulu alikuwa Ahmed Kipozi, amepewa ukuu wa wilaya kama fadhila.

2. Kwenye RED: Ikulu wana studio ndogo lakinikali sana Pasco mie nimewahi kuitembelea. Ndipo anaporekodia siku hizi hotuba za mwezi. LAKINI hawana wataalam zaidi ya Juma Kengere aliyekuwa RTD enzi zile licha ya kuwa naye ni mtu wa Sound zaidi
 
ziara yenyewe ya canada ni ya siri vipi irekodiwe,unachotakiwa kuona wewe ni pale pa farasi maswala ya kusaini hayakuhusu ndio maana mali zipo tz lakini tunasainia huko huko.sawa!
Wakiwa nje ya nchi wanashindana kufanya shopping na kutafuta wenza wa kulala nao usiku , ishu ya kuweka kumbu kumbu za Ziara sio kipaumbele kwa sababu ni Ziara za matembezi na kuiona dunia zaidi
 
Mpigapicha ni Fred.
Michu ni Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi kama alivyo Premy.
Kwa nchi zetu ni umasikini tuu unatusumbua kulitakiwa kuwepo na Video grapher wa Ikulu
Producer wa Ikulu
Presenter wa Ikulu
Narrator wa Ikulu
Editor wa Ikulu
Studio ya Ikulu. etc
Studio kawapa matapeli kina Ruge Mutahaba na THT yao. labda unielimishe huyu Michuzi ni muajiliwa wa Ikulu au Deiwaka? maana nchi kila kitu is possible.
 
Freddy Maro
Issa Michuzi
Directorate of Information

Nauliza kwa sababu picha akipiga Michuzi hatuoni jina lake lakini Freedy Maro tunaona jina linawekwa

sasa kwa nini hili suala haliwi simple tuu kuwa picha na KURUGENCY YA MAWASILIANO IKULU?

Zaidi tazama hapa:

IKULU BLOG | Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais

kama kuna mwenye kuelewa atufahamishe tafadhali

Utofauti ni MDOGO; Huyo FREDDY MARO hajui Mambo ya KIJIWE CHA SAIGON...
 
ziara yenyewe ya canada ni ya siri vipi irekodiwe,unachotakiwa kuona wewe ni pale pa farasi maswala ya kusaini hayakuhusu ndio maana mali zipo tz lakini tunasainia huko huko.sawa!

Hapana kaka

Alikutana na wa Tanzania na mkutano ulirekodiwa. sasa kwa nini watu hawapewi nafasi ya kuona maswali na majibu ?
 
Studio kawapa matapeli kina Ruge Mutahaba na THT yao. labda unielimishe huyu Michuzi ni muajiliwa wa Ikulu au Deiwaka? maana nchi kila kitu is possible.
Kuna waajiriwa wa Ikulu ambao wao ni watumishi wa Ikulu, rais yoyote akija, watamtumikia. Na kuna appointed officials wa Ikulu ambao rais yoyote anayeingia madarakani, anaingia nayo. Hii inaitwa working team, na akimaliza term yake, anaondoka nayo. Kitu ambacho huwa kinafanyika kama hajamaliza, anahakikisha hawa watu ame wa place kwenye strategic positions usually ubalozini wakasubiri kustaafia kule!.

Michuzi ni appointed official na ameapishwa rasmi na JK mwenyewe!.
 
Unajuwa hapa mjini siku hizi Matapeli na wajanja wajanja hawaitwi tena Wasanii bali jina jipya wanaitwa Wazee wa Msoga.

Huyo Michuzi kama aliwahi kuapishwa na JK basi waliapishana Ughaibuni au Msoga.

Hizi favour wanazopewa kina Michuzi sasa hivi ndio kaburi la Tasnia ya habari kwenye nchi yetu.
 
At this point I care less about appointed na hao wengineo

these lot need to deliver maana budget wanapewa lakini kila kikicha tunaona gap inazidi ku widen kati ya Ikulu na wananchi kwa ujumla

No one even knows what they do really.

Ukituma e-mails hazijibiwi, ukipiga simu hazipokelewi au unawekewa mziki, ukienda pale huonani na mtu

whats going on?
 
Leo rais kakutana na wafanya biashara wa Oman, hakuna video ya speech, hakuna picha wala nini

sasa who is responsible?
 
Mpigapicha ni Fred.
Michu ni Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi kama alivyo Premy.
Kwa nchi zetu ni umasikini tuu unatusumbua kulitakiwa kuwepo na Video grapher wa Ikulu
Producer wa Ikulu
Presenter wa Ikulu
Narrator wa Ikulu
Editor wa Ikulu
Studio ya Ikulu. etc
Pasco,
Umesema Michuzi ni mwandishi wa habari wa rais kama alivyo Premi Kibanga. Nauliza Salva kazi yake ni nini?
 
Pasco,
Umesema Michuzi ni mwandishi wa habari wa rais kama alivyo Premi Kibanga. Nauliza Salva kazi yake ni nini?
Swali lilipaswa kuwa Salva ni nani, na sio kazi yake ni nini?, kwani huyo Michuzi au Premmy unajua kazi zao ni nini ila kazi ya Salva ndio huijui?.

Ninachoweza kusema ni Salva ni Mkurugenzi wa Mawasiano Ikulu. Naombeni msiniulize zaidi mambo ya Ikulu, mimi sio mfanyakazi wa Ikulu, only Michuzi is a good friend!, wenyewe wa ikulu, wamo humu wamejaa kibao!, ila wamejinyamazia kimya kama sio!.
 
Back
Top Bottom