Search results

  1. BigBaba

    Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa, inatia huruma

    TUWAOMBEE WAO TUJIOMBEE NA SISI , KILA MTU ATOE MAOMBI YAKE HAPA, THANKS! Italia wanaonesha hali ya kukataa tamaa wanaona kama wametengwa na dunia ,wanajiona wapweke ,wanona hawana msaada tena,na wanaamua kumwachia mungu aamue juu ya hatima yao. Ndugu zangu watanzania tumwombee mungu kupitia...
  2. BigBaba

    Wajue wanawake wasiojitambua

    WAJUE WANAWAKE WASIOJITAMBUA 1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti. 2. Anayetoa mimba kisha analala na midoli. 3. Anaye-date na mume wa mtu miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaotaka kumuoa! 4. Anayeweka nywele bandia, kucha bandia, kope bandia akiambiwa...
  3. BigBaba

    Huu ni ukweli kuhusu samaki aitwaye chunusi

    Tumezoea kumuita chunusi ila kwa jina lingine anaitwa electric eel. Anafanana na kambale. Anatoa umeme aina ya umeme tuli (static electricity) hadi vilt 850v. Kiwango hicho cha umeme kinatosha vizuri kuua binaadamu na damu kuganda ndio maana utasikia wanasema jini chunusi ananyonya damu. Ni...
  4. BigBaba

    Hivi vitu vinapatikana wapi wakuu!

    Nitapata wapi wakuu chupa kama hizi kwajili ya biashara yangu. Au vifuniko vyenye selead vya maji
  5. BigBaba

    Nimekutana na Chura wa ajabu, anabadilika rangi kama kinyonga

    Wakuu nmekutana na huyu chura wa ajabu anayebadilika rangi kama kinyonga. Katika utafiti wangu wa muda mfupi akiwa na furaha anakuwa na rangi nyeupe pale anapokasirika anakuwa na rangi isiyoeleweka kama unavyoona kwenye picha. Najaribu kumfanyia uchunguzi zaidi wenda akawa chura pekee Duniani.
  6. BigBaba

    Nahitaji gari lav kukodisha kwa siku 5

    Habari wakuu nahitaji Kampuni ya kukodisha gari. Nina wageni wangu kutoka ulaya watakuja mwezi wa 11 watahitaji kukodisha gari kwa siku 5. Mambo mengine tutaongea nicheki nbox Sent using Jamii Forums mobile app
  7. BigBaba

    Ujinga mama huu unaitwa kwa WANAUME wa MKOANI WENZANGU

    Ujinga mama huu unaitwa kwa WANAUME wa MKOANI [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nani kawadanganya kuvaa irizi ndo kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23] Tuendelee au VITA Imeisha eti Barnaba Midfield Mtibuaji
  8. BigBaba

    Je! Wajua siri iliyopo kwenye hivi viazi kwa Afya yako?

    Viazi lishe ni aina ya viazi vitamu vyenye very high carotene na fibres with Vitamin A Vinasaidia mtoto kutokudumaa . pia huongeza uwezo wa nguvu za kiume yaani more fire kurudisha heshima nyumbani. Unaweza pika vyakula vya aina mbalimbali Unaweza chemsha pika mikate chapati kutengeneza juice...
  9. BigBaba

    Nyumba ndogo rahaaa tupu

    Nyumba ndogo raha sana wakuu, hauchoki kila kitu ni burudani kama mnavyoona wakuu hicho kitu cha ugali.
  10. BigBaba

    Unampa dogo maksi ngapi kwa huu ubunifu

    Unampa dogo maksi ngapi kwa ubunifu huu? Unazani akiwa mkubwa afanye kazi gani? Je! Kuna namna yakumsaidia kutimiza ndoto zake? Naomba tushauliane
  11. BigBaba

    Chupa ya bia hii baada ya kunywa hutumika kujengea nyumba kama tofali

    Mwanzilishi wa kampuni ya bia ya Heineken Bwana Alfred Heineken alitengeneza chupa ya bia yenye umbo la tofali, ili watu kutoka mataifa masikini watakaokunywa bia zake waweze kutumia chupa hizo kama matofali ya kujengea nyumba. Picha ya Mwaka 1963
  12. BigBaba

    Haya ndo Mahindi ya Dar!

    Mahindi ya Dar! Ndungu zangu wa mikoani ndo haya ndugu zetu wanajua kuunga unnga kwa kila kitu kuanzia maisha mpaka chakula
  13. BigBaba

    Bata huyu ni mali ya Malkia wa Uingereza.

    Kwa mujibu wa sheria za Uingereza zilizopitishwa tangu karne ya 12 Bata maji (mute swan) wote waliopo nchini humo ni mali ya Malkia wa Uingereza. Sheria hiyo ilipitishwa ili kuwazuia wananchi wa kawaida wasile bata maji kwasababu ni chakula kinachopendwa zaidi na familia ya kifalme ya Uingereza.
  14. BigBaba

    Ukweli kuhusu Biashara ya mercury na Rupia

    Wakuu naomba kujua kuhusu hii biashara mana nmepitia nyuzi mbalimbali humu cjaambulia kitu wala kujua ukweli halisi wa hii kitu. Moderator kama itawapendeza msiuuanganishe uzi wangu ili nipate ukweli halisi. Maswali yangu ni 1. Je! Hii ni biashara halali au magumashi? 2. Biashara hii network...
  15. BigBaba

    Duh! maisha nikuheshimiana wala maisha hayataki kudharauliana

    Kweli maisha nikuheshimiana wala maisha hayataki kudharauliana...Ona hii picha ya Mike Tayso na Donald Trump iliyopigwa mwaka 1988 wkt huo Mike Iron Tayson alikua amemuajiri Donal Trump kama msaidizi wake binafsi kwenye maswala ya fedha lkn Leo Trump sio mtumishi wa Tyson tena bali Don Trump...
  16. BigBaba

    Ajifungua mtoto mwingine wa 3 baada ya kujifungua mapacha miezi mitatu iliyopita

    Duuh ! Madaktari hii inawezekanaje medically au ni miujiza ya Mungu !! . Pichani mwanadada huyo wa Nigeria baada ya kukaa miaka 12 kwenye ndoa bila kupata mtoto. Mwaka huu mwezi March aliweza kujifungua watoto wawili mapacha wa kike na kiume. Kilichowashangaza watu ni kuwa miezi mitatu baada ya...
  17. BigBaba

    Israel lawamani kwa kuiba mawingu ya Iran na kusababusha mvua

    Israel lawamani kwa kuiba mawingu ya Iran ya kusababisha mvua Israel baada ya kuiba mawingo hayo ya mvua imesababisha ukame wakutosha upande wa Iran
  18. BigBaba

    Soko la uhakika la viazi lishe (viazi vitamu)

    Habari wakuu natafuta soko la uhakika wa viazi vitamu (viazi lishe) Nina ekari tano maeneo ya morogoro Kilosa kijiji cha msowero. Tuwasiliane inbox kwa maelezo zaidi.
  19. BigBaba

    Nataka kusoma English course nijue kiingereza cha kuongea

    Samahanini wadau kwa yoyote ambae amesoma English course pale British council. Wenye idea ya hapo nataka kusoma English course, kuongea. Kuandia kiingereza naweza kukuandikia kitabu kizima insu kuongea . 1. Taratibu zikoje? 2. Ada yake imekaaje? 3. Muda wa kusoma nk
  20. BigBaba

    IPhone 7Plus 128GB kwa 780000 tsh

    Nauza iPhone 7plus 128GB mpya cjaitumia toka imeletwa full equipment bei 780000 tu kama unahitaji njoo Dm Au tuwasiliane hapa hapa kwanza tukikubaliana tutaona namna ya kufikiana Location : Moro Town
Back
Top Bottom