Unampa dogo maksi ngapi kwa huu ubunifu

Unampa dogo maksi ngapi kwa huu ubunifu

BigBaba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,908
Reaction score
9,041
Unampa dogo maksi ngapi kwa ubunifu huu?

Unazani akiwa mkubwa afanye kazi gani?

Je! Kuna namna yakumsaidia kutimiza ndoto zake? Naomba tushauliane
FB_IMG_1532115709260.jpg
 
Unampa dogo maksi ngapi kwa ubunifu huu?

Unazani akiwa mkubwa afanye kazi gani?

Je! Kuna namna yakumsaidia kutimiza ndoto zake? Naomba tushaulianeView attachment 814317
Huyu Moja Kwa Moja Akasomee Achtect /civil Drafting. Huyu Ana Kipaji Hicho Ila Kwa Mfumo Wa Elimu Uliopo Hicho Kipaji Atapotea Nacho Kusikojulikana. Hatuna Utamaduni Wa Kuibua,kukuza Na Kuendeleza Vipaji Vya Watu Wetu Tunashangaa Tu. Huyu Ni Hazina Kubwa Sana Kwa Taifa
 
Nampa 35% tu kwa kuwa hapo hakuna jipya. Harafu akikua natabiri atakua mwanasiasa.
 
Nampa asilimia 100 ila vipaji vingi vimekufa kutokana na mamlaka zinazo simamia kutoviendeleza pamoja na vikwazo wanavyowekewa.yuko wapi yule jamaa wa ndege tunduma.
 
😱 Kazi Nzuri Sana
Hapo Utekelezaji Wa Ilani Marks Siyo Muhimu
 
Nampa asilimia 100 ila vipaji vingi vimekufa kutokana na mamlaka zinazo simamia kutoviendeleza pamoja na vikwazo wanavyowekewa.yuko wapi yule jamaa wa ndege tunduma.
Kweli lakini nitacheki namna yakumuweka sawa
 
Huyu Moja Kwa Moja Akasomee Achtect /civil Drafting. Huyu Ana Kipaji Hicho Ila Kwa Mfumo Wa Elimu Uliopo Hicho Kipaji Atapotea Nacho Kusikojulikana. Hatuna Utamaduni Wa Kuibua,kukuza Na Kuendeleza Vipaji Vya Watu Wetu Tunashangaa Tu. Huyu Ni Hazina Kubwa Sana Kwa Taifa
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom