Israel lawamani kwa kuiba mawingu ya Iran na kusababusha mvua

BigBaba

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,909
9,038
Israel lawamani kwa kuiba mawingu ya Iran ya kusababisha mvua
IMG-20180703-WA0014.jpg


Israel baada ya kuiba mawingo hayo ya mvua imesababisha ukame wakutosha upande wa Iran
 
Sipati picha sasa kama nchi zimeanza kuibiana mawingu si Tz tukiibiwa mawingu tutakufa, huu mchezo wafanyiene nchi zilizo endelea
Wale jamaa wanacotrol climatic condition, ukame, matetemeko, nk
 
Nasisi tuwape tu mawingu ya dar ili mvua zisinyeshe maana zikinyesha hali inakua nomaa
 
Back
Top Bottom