BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,041
Habari wakuu nahitaji Kampuni ya kukodisha gari. Nina wageni wangu kutoka ulaya watakuja mwezi wa 11 watahitaji kukodisha gari kwa siku 5. Mambo mengine tutaongea nicheki nbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app