Hivi vitu vinapatikana wapi wakuu!

Hivi vitu vinapatikana wapi wakuu!

BigBaba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,908
Reaction score
9,041
Nitapata wapi wakuu chupa kama hizi kwajili ya biashara yangu. Au vifuniko vyenye selead vya maji
images.jpg
View attachment 1227982
Al-Wazir-Olive-Pomace-Oil-500ml-19415-00001.jpg
images%20(2).jpg
 
Vifuniko vya maji gani unahtaj weka na Bei watu wakuletee kwa tan
 
Mtaa wa sikukuu nyuma ya soko la Kariakoo yamejaa maduka ya vifungashio vya kila aina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom