Mnamo tarehe 17 Desemba 2023 Majira ya saa 10 jioni Kijana Ryoba Kisire Kisire alipigwa Risasi na Polisi wanalinda eneo la mgodi huo na Kufariki wakati akipatiwa matibabu hospital ya Nyamwaga Halmashauri ya Tarime Vijijini.
Mazishi yanafanyika leo tarehe 18 Desemba Kitongoji cha Ntarechagini...
Wanajukwaa salaam!
Naomba msaada na muongozo wa namna ya kurudisha file zimepotea wakati napiga window nilisahau zilikuwa kwenye Desktop nikasahau ku copy kwenye Disk hasa Ni vitu vya muhimu Sana naomba msaada wenu wanajukwaa. Nafahamu hapa huwa hakishindikani kitu.
Wanajukwaa Salaam!
Naomba niwaeleze snario iliyopo Polisi Wilaya ya Masasi Mkoa wa MTWARA.
Iko Hivi, tarehe 27 oct 2021 kulitokea tukio la kukamatana masuala ya ugoni.
Bwana J ndiye Mwenye Mke ambaye baada ya kumuona mkewe amebadilika kitabia na mienendo yake mibaya aliamua kumfuatilia kwa...
Coronavirus: Tanzania’s handling of pandemic raises eyebrows
By Morris Kiruga
Posted on Tuesday, 12 May 2020 12:25
With just months to go to the end of his first term, Tanzania's president John P. Magufuli is making global headlines once again, as his administration continues its somewhat...
Haya mambo ni sayansi. Alichokiongea Mh. Rais jana inaonyesha wazi hajui sayansi ya magonjwa na diagnostic tests au anajaribu ku undermine the magnitude of the virus and put the front liners down. Nitajaribu kuchambua hiki kisanga cha mapapai, mafenesi, kwale na oil zilizo fanyiwa tests na team...
, FENESI, MBUZI N.K
IMEANDIKWA NA DR. LIBERATUS MWANG'OMNE MTAALAM WA MFUMO WA UPUMUAJI.
Haya mambo ni sayansi. Alichokiongea Mh. Rais jana inaonyesha wazi hajui sayansi ya magonjwa na diagnostic tests au anajaribu ku undermine the magnitude of the virus and put the front liners down...
#Hivi mnamdanganya nani? Kama siyo kuwaonea wananchi!
Rais Magufuli leo Jumatatu 14/10 atafanya ziara wilayani Ruangwa.
Ajabu ni kwamba wananchi wa vijiji vya wilaya hiyo wameamrishwa jana asubuhi 13/10 wakafagie barabara na kupewa maelekezo kwamba, akifika Magufuli wakiulizwa habari za...
###BREAKNEWS:CCM SIRI IMEFICHUKA.
TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA NA MIPANGO MIOVU NDANI YA CCM
CCM inatumia bilioni 12.8 katika MIPANGO mkakati katika vikundi vitatu ambavyo ni UJASUSI WA KUSINI NA KANDA YA KATI 2:UJASUSI KASKAZINI NA CCM NI NGUVU YA DOLA.
UJASUSI KUSINI NA KANDA YA KATI
Hili ni...
Sijui nimjibu Dr. Slaa?
Mwaka 2011 nikiwa mwanafunzi wa kidato cha sita huko Ihungo boy's high school nikichukua masomo ya HGE niliwahi kuwa kiongozi wa ngazi ya jimbo wa umoja wa wanafunzi wakatoliki yani ( Tanzania Young Catholic Students TYCS)
Nafasi yangu hii ilinifanya niwe karibu na baba...
Ni ukweli usiopingika Kama malalamiko ya nmana hi hayakupatiwa ufumbuzi na leo NACTE wanakuja kuwatetea walimu wa chuo hii si sawa. Lakini yote haya yanafanywa na watu wafuatao Wizarani:-
1. DR. NDIMIRA Mratibu wa Mafunzo wizarani.
2. DR.SAITORE Mkurugenzi wa Mafunzo Wizarani
3. DR.FADHILI...
CHUKUA HII TOKA CCM.
Hakuna sheria inataja hitaji hili kwa mgombea any way wanasheria wapo hapa watanisaidia. Lakini maccm wapenga kufanya haya dhidi ya CHADEMA.
Mikakati hovu toka ccm dhidi ya chadema kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa.
1. Vyeti vya kuzaliwa vya wagombea. Sisi wamepanga...
Walimu wawili wa Shule ya Sekondari Musa Akasha iliyoko wilayani Rorya Mkoa wa Mara wamesota mahabusu kwa wiki moja bila dhamana kwa amri ya Mkuu wa Wilaya kwa kosa la kuadhibu mwanafunzi ambaye alifika shukeni akiwa amevalia viatu vya plastiki ambavyo si sare ya shule.
Walimu hao walikamatwa...
Wanajukwaa Salaam kwenu.
Kama mnakumbuka juzi niliweka thread iliyokuwa na kichwa "Clinical Officer Training Collage" Wanaficha vyeti na kukaziwa na kufafanuliwa zaidi na NavoJ.Sued ilieleza kwa marefu Sana. Baada ya maandiko Yale NACTE wametuma wawakilishi wao mmoja wao anaitwa Mr. BANGI...
ZIJUE TARATIBU ZA UPEKUZI (SEARCH) KISHERIA ZITAKAZO FANYWA NA POLICE DHIDI YAKO.
Na. Comred Mbwana Allyamtu.
Thursday -28/6/2018.
+255679555526.
Leo tutaendelea katika mfululizo wa utoaji wa elimu ya sheria katika nyanja ambazo ni changamoto katika jamii yetu hivyo kwa msingi huu leo...
Wanajukwaa Salaam kwenu.
Juzi nilikutana na Vijana wanne wanaosoma Clinical Officers Training College - Lindi (COTC). Pamoja na story zingine lakini pia nilivutiwa na hasa story kadhaa Zifuatazo:-
1. Mwanafunzi kusoma kwa miaka 7 kwa kukamatwa kwenye somo moja linalofundishwa na Dr. Mmoja...
US & ALLIES LAUNCH MILITARY STRIKES ON MULTIPLE SYRIAN REGIME TARGETS
The United States, Britain and France launched strikes against the Syrian regime in response to an alleged chemical weapons attack after mulling military action for nearly a week.
Loud explosions ripped through Syria's...
Anaandika Ansbert Ngurumo
Very important Tip:
CCM na polisi jana usiku kuanzia saa 2:37 walijifungia katika ukumbi wa BoT Mwanza kupanga wizi wa kura.
1. Kikao kilianza saa 2:37
2. Washiriki walikuwa 36.
3. Kiliongozwa na John Mongela, mkuu wa mkoa.
4. Miongoni mwa washiriki ni hawa...
*HILA ZILIZOPANGWA UCHAGUZI 17/2/2018 (JUMAMOSI):KINONDONI, SIHA na KATA MBALIMBALI*
Makamanda wenzangu na watanzania wote wapenda mabadiliko. Naandika andiko hili nikitambua kuna kampeni zinaendelea katika maeneo mbalimbali nchini. Kampeni hizi zimeudhirishia umma kwamba CCM , Magufuli na...
HILA ZILIZOPANGWA UCHAGUZI 17/2/2018 (JUMAMOSI):KINONDONI, SIHA na KATA MBALIMBALI
Makamanda wenzangu na watanzania wote wapenda mabadiliko. Naandika andiko hili nikitambua kuna kampeni zinaendelea katika maeneo mbalimbali nchini. Kampeni hizi zimeudhirishia umma kwamba CCM , Magufuli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.