CHUKUA HII TOKA CCM.
Hakuna sheria inataja hitaji hili kwa mgombea any way wanasheria wapo hapa watanisaidia. Lakini maccm wapenga kufanya haya dhidi ya CHADEMA.
Mikakati hovu toka ccm dhidi ya chadema kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa.
1. Vyeti vya kuzaliwa vya wagombea. Sisi wamepanga kuweka pingamizi kwa wagombea wa chadema wasio na vyeti vya kuzaliwa ili wao wapite bila kupingwa. Hivyo hapo ulipo hakikisha mgombea wa chadema anacheti cha kuzaliwa maana filimbi inapigwa muda wowote.
2.Muda wa kurudisha fomu, watendaji wa wameshauriwa na ccm kutokaa ofsini mara tu wagombea wa ccm watakapo rudisha fomu. Hivyo hakikisha mgombea wa chadema anarudisha fomu yake mapema sana. Ikiwezekana afike ofsi ya mtendaji saa moja kabla ya ofsi kuanza kazi. Pia wakati wa kurudisha ahakikishe nyendaji anaandika muda sahihi kabla ya kusaini. Maana kuna mkakati wa mtendaji kubadili muda wa kurudisha fomu kwa wagombe wa chadema.
Note, mambo haya nimeyapata kwa kada wa ccm hivyo yanaukweli 100%.