Search results

  1. Mzaleee

    Kwa wa Tanzania waishio Singapore naomba uzoefu wa misha ya huko

    Wakuu kwema, Kama Kuna Mtanzania yeyote anayeishi nchini Singapore pengine kikazi,kibiashara au kimasomo naomba anipe uzoefu wake maana nimepata partial scholarship ya master's hivyo nikahitaji nijue Moja na mbili kuhusu maisha kiujmla yalivyo hapo Singapore na kama kuna kazi za mtaani kusogeza...
  2. Mzaleee

    Je ni kweli Kuna mzee wa kimila wa kipare anafanya uganga huu?

    Wakuu kwema?kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimesikia Mahali kwa juu juu kuwa eti upareni Kuna mzee wa Mila ambaye kupitia maombi maalumu kwa mizimu yake anauwezo wa kutatua changamoto kama ugojwa,ajira,biashara na mengineyo. Naomba kwa mwenye taarifa kamili kuhusu mzee huyo...
  3. Mzaleee

    Wasafiri msaada juu ya Mtanzania anayesafiri kwenye nchi zilizo katika orodha ya visa free

    Wakuu kwema? Ni matamanio yangu tangu zamani kutoka nchi hii kwenda kutembea nchi zingine lengo hasa ni kuangalia fursa za kimaisha. Katika kutafiti nimeona sisi watanzania kuna nchi tunaweza kuingia bila visa yaani visa free sasa mimi kidogo sina uzoefu maana sijawahi kutoka nchini hvo basi...
  4. Mzaleee

    Nauza kiwanja jijini Dodoma.

    Wakuu kwema? Ni kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya msingi michese na pia ni jirani na zahanati ya michese. Huduma kama umeme,nguzo ipo jirani hvo ni kuvuta tu,maji ndo...
  5. Mzaleee

    Kiwanja kinauzwa jijini Dodoma

    Wakuu kwema? Kaka yangu anauza kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma. Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya msingi michese na pia ni jirani na zahanati ya michese. Huduma kama umeme,nguzo ipo jirani hvo ni...
  6. Mzaleee

    Ushauri wa wazo la kibiashara kwa Mwanza, Dodoma na Dar es Salaam

    Wakuu kwema? Nina mtaji wa million mbili (2m), nimekuja kwenu kama wana jamii nikihitaji mawazo bora ya ujasiliamali kwa mikoa ya Mwanza, Dodoma na Dar es salaam. Mikoa hii nimeichangua nikiwa na maana ya kuwa nipo tiari kufanya biashara moja ya mikoa hiyo sasa ni kufuatana na ubora wa wazo...
  7. Mzaleee

    Wamiliki wa Bajaji Dodoma, dereva nipo hapa. Natafuta kazi

    Wakuu kwema? Baada ya ajira serikalini kuwa ngumu hasa kwa sisi wahitimu wa vyuo vikuu,niliamua kuingia veta kutafuta ujuzi mbadala na nimefanikiwa kupata leseni yenye madaraja yayoniwezesha kuendesha pikipiki,bajaji na magari chini ya tani tatu. Nimekuja kwenu wanajamii forum hasa wakazi wa...
  8. Mzaleee

    Shule ya private,fursa maridhawa kwa wawekezaji halmashauri mpya ya Buchosa mkoa wa Mwanza!

    Shule ya private,fursa maridhawa kwa wawekezaji halmashauri mpya ya Buchosa mkoa wa Mwanza! - JamiiForums Wakuu kwema? Nianze kwa Ku declare interest ya kuwa mm ni mwalimu by professional,na nikiwa kama mwalimu na mwenyeji wa halmashauri mpya hii ya BUCHOSA yenye makao makuu yake katka mji wa...
  9. Mzaleee

    Shule ya private,fursa maridhawa kwa wawekezaji halmashauri mpya ya Buchosa mkoa wa Mwanza!

    Wakuu kwema? Nianze kwa Ku declare interest ya kuwa mm ni mwalimu by professional,na nikiwa kama mwalimu na mwenyeji wa halmashauri mpya hii ya BUCHOSA yenye makao makuu yake katka mji wa NYEHUNGE,napenda kwa dhati kabisa kukushirikisha fursa hii niliyo iona ktk huu mji wa Nyehunge!!! Kwa...
  10. Mzaleee

    Ni upi ushauri wako kuhusu mimi kumuoa mwanamke anaenizidi kipato!!

    Wakuu kwema?? Mm ni kijana wa kiume(26),na ni muhitimu wa shahada ya kwanza mwaka jana. Nimekuja mbele yenu kuomba mawazo yenu juu ya uhusiano wangu mm na mchumba wangu ambaye sasa tunaelekea kwenye harakati za ndoa. Huyu mchumba wangu tumejuana ni mwaka sasa na ni mwanamke ambaye nampemda...
  11. Mzaleee

    Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

    Kwema wakuu!! Mm ni kijana wa kiume umri ni 25 nipo chuo fulani mwaka wa tat kozi moja ya biashara, Sasa kuna huyu dada tulijuana tangu akiwa first year yy yupo degree ya nursing kwasas nae yupo mwaka wa tat! Kisa kipo hvi tulionana juzi hapahapa chuoni kidg tukapiga story mbili tatu za...
  12. Mzaleee

    Nauza tv, king'amuzi, radio na stend ya TV

    Wakuu kwema!! Kama kichwa kinavyo jieleza TV aina ya aborder size 19 inauzwa kwa 200k,Radio aina ya aborder inauzwa kwa 100k,king'amuzi cha startimes kwa 20k,stend ya TV kwa 20k...! Napatikana Dodoma!!! NB: Kwa atakaye chukua vyote atapata punguzo kubwa la bei.
  13. Mzaleee

    Nauza Meza kwa ajili ya TV

    Sold
  14. Mzaleee

    Nina 230,000 nahitaji laptop

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu! Nahitaji Laptop iwe na hard disc kubwa kuanzia 320Gb Ila processor na ram iwe yoyote.sijangui kwa upande wa pro na ram. N:B Iwe kdg Toleo La kisasa,
  15. Mzaleee

    Nifanyeje nimetuma sh 200,000 kimakosa!

    Wakuu kwema? Ni hv ilikuwa Jana namutumia mdogo wangu aliyeko shule kiasi cha 200,000 kwa bahati mbaya nilikosea namba na kuituma kwa mtu mwingne kwa bahati mbaya sikungundua mapema kwani ni leo ndo nimetambua ya kuwa hela hazikufika kwa mlengwa baada ya dogo kunistua. Nimewapigia Voda wanadai...
  16. Mzaleee

    Natafuta laptop

    Wakuu nina pesa kiasi cha 200,000 nahitaji PC either mpya au used iliyo ktk khali nzuri Battery iwe ina uwezo wa kukaa na charge masaa 2 nakuendelea Itapendeza kama utaweka Aina ya laptop unayouza pamoja na picha NB: Pesa inaweza ongezwa kufuatana na laptop yako njisi ilivo.
  17. Mzaleee

    NATAFUTA housing ya laptop..

    Wakuu kwema...? Naombeni yeyote anaye uza housing au anaye fahamu sehemu ninayo weza pata housing ya laptop aina ya HP,,530 anifahamishe....Asanteni
  18. Mzaleee

    Nitajie jina la lotion maalumu kwa kuondoa nywele kwapani bila kunyoa

    Wakuu poleni na majukumu ,,ni zamani kidogo niliwahi kupaka lotion ya kuondoa nywele kwapani kwa ndg yang mmoja lakn kwa sasa jina silikumbuki kwa usahihi,,,, naombeni tushare ideas kwa yeyote anaye ifahamu lotion ya aina yoyote iliyo kwa miajili hiyo.Asanteni
  19. Mzaleee

    Computer4Sale Computer 4 Sale.

    Wakuu PC inauzwa 230,000,Tsh.ina specification zifuatazo. Ram 2Gb Processor 2Gb Hard disc 320Gb Tatizo lake ni betri tu ndo halikai na charge.
  20. Mzaleee

    Nataka smart phone

    Wakuu naombeni kama kuna mdau anauza smart phone kwa bajeti ya 50000Tsh tuwasiliane ,iwe ktk khali zuri,Asanteni
Back
Top Bottom