Wasafiri msaada juu ya Mtanzania anayesafiri kwenye nchi zilizo katika orodha ya visa free

Mzaleee

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,616
3,029
Wakuu kwema?

Ni matamanio yangu tangu zamani kutoka nchi hii kwenda kutembea nchi zingine lengo hasa ni kuangalia fursa za kimaisha.

Katika kutafiti nimeona sisi watanzania kuna nchi tunaweza kuingia bila visa yaani visa free sasa mimi kidogo sina uzoefu maana sijawahi kutoka nchini hvo basi napata ugumu hasa wa maana kamili ya visa free,je kwavile ni visa free mimi nitakata ticket ya ndege na kuingia nchini kwao bila kuulizwa au utaratibu ukoje?

Baadhi ya nchi ambazo ni visa free kwa Mtanzania ni South Africa,Singapore etc msaada tafadhari wakuu?
 
Sasa hivi na hii ishu ya Corona mambo ya kupima kwa wakati au kuwa na chanjo inaonekana ni moja ya kigezo kikuu kuingia Nchi hizo..ngoja nianze kwa SA wao ukipima tuu Tanzania ukafika Oliver Tambo ukiwa na cheti ambacho akijapita masaa 72 nadhani ukifika kwa uhamiaji wao wanakuuliza hicho cheti unapewa siku 90...kwa Hong Kong huo mji ni wa kibiashara tuna siku 90 za kupewa ukiingia tuu ila kutokana na Watanzania kuharibu hasa wauza sembe na wengine wakiingia hawatoki wamekua na maswali mengi mno kuhusu kiasi cha pesa unaenda kununua nini na utafikia wapi hayo maswali unaulizwa kabla hujamfikia mgonga mihuri ugongewe wakiona hueleweki na kwa kuwa una tiketi ya kurudi utarudi na ndege uliyokuja nayo hata kwa kuzuiliwa hapo hapo airport siku kadhaa wamedundisha sana watu...ila ukiingia pako poa kwa Singapore hao ndio watata kuliko hata Hong kong hao singasinga mnafanyiwa interview wote hata Mmarekani wanampiga maswali wakiina hawamuelewi wanamridisha ila ni mara chache mno...Thailand ni visa kupo vizuri ukiweza chukua visa..Vietnam ni visa ila Cambodia sio visa hizo nchi unaweza kuzizarau ila wapo Wageni wanapiga maisha hapo maana ni Nchi zenye viwanda vingi na bidhaa zake soko lake kubwa ni Afrika,Ulaya na China...swala fanya utoke Afrika ukifika huko maujanja ya kuishi utakutana nayo huko huko hakuna kitu kigumu.
 
Mkuu mfano kwa singapore ambapo ni visa free naweza kwenda ubalozini kwao nikagongewa ingali nikiwa bado nipo bongo..kuliko.kwenda na kurudishwa airport?
 
Sasa hivi na hii ishu ya Corona mambo ya kupima kwa wakati au kuwa na chanjo inaonekana ni moja ya kigezo kikuu kuingia Nchi hizo..ngoja nianze kwa SA wao ukipima tuu Tanzania ukafika Oliver Tambo ukiwa na cheti ambacho akijapita masaa 72 nadhani ukifika kwa uhamiaji wao wanakuuliza hicho cheti unapewa siku 90...kwa Hong Kong huo mji ni wa kibiashara tuna siku 90 za kupewa ukiingia tuu ila kutokana na Watanzania kuharibu hasa wauza sembe na wengine wakiingia hawatoki wamekua na maswali mengi mno kuhusu kiasi cha pesa unaenda kununua nini na utafikia wapi hayo maswali unaulizwa kabla hujamfikia mgonga mihuri ugongewe wakiona hueleweki na kwa kuwa una tiketi ya kurudi utarudi na ndege uliyokuja nayo hata kwa kuzuiliwa hapo hapo airport siku kadhaa wamedundisha sana watu...ila ukiingia pako poa kwa Singapore hao ndio watata kuliko hata Hong kong hao singasinga mnafanyiwa interview wote hata Mmarekani wanampiga maswali wakiina hawamuelewi wanamridisha ila ni mara chache mno...Thailand ni visa kupo vizuri ukiweza chukua visa..Vietnam ni visa ila Cambodia sio visa hizo nchi unaweza kuzizarau ila wapo Wageni wanapiga maisha hapo maana ni Nchi zenye viwanda vingi na bidhaa zake soko lake kubwa ni Afrika,Ulaya na China...swala fanya utoke Afrika ukifika huko maujanja ya kuishi utakutana nayo huko huko hakuna kitu kigumu.
Umemaliza mjadala.

Hakuna guarantee kwamba utaruhusiwa kuingia kwenye nchi ambayo hawahitaji visa. Uiingie au la itakuwa determined na jinsi utakavyojibu maswali pale port of entry.

Vilevile hakuna guarantee kwamba ukipata visa ya kwenda marekani ndiyo utaruhusiwa kuingia, inategemea na ulivyojipanga incase ukiulizwa maswali at the port of entry.
 
Nenda Bahamas...
Visa free ..
Halafu ni masaa Tu kuingia USA
Akumbuke kua ni vigumu au haiwezekani kabisa kupata visa ya nchi nyingine na hasa ya 1st world ukiwa ni mgeni kwenye nchi unayoombea visa.

Kwa mfano, kama wewe ni mtanzania, na umeomba visiting visa kwenda Bahamas, na kweli ukaenda Bahamas, hautaruhusiwa kuomba visa ya kwenda marekani kwa sababu Bahamas sio nchi yako na wewe ni mgeni. Watakuambia nenda ukaombe kutokea nchi yako.

Utaweza kuaaply kwenda nchi nyingine ukiwa Bahamas kama tu una permanent residence au visa ya kusoma. Au kama nchi unayotaka kwenda haihitaji visa.
 
Bahamas ni corrupt tu kama Jamaica
Sioni kama shida Sana kupata permanent residence halafu ukaanzia hapo
 
Cheza na internet kaka. Ila tambua huu ni ushauri tu, inabidi na wewe ufanye homework yako ili kubaini ukweli.

Baada ya Rais Mugabe kupigwa marufuku yeye na familia yake kwenda ulaya, alimpeleka mwanae akasome Singapore na yeye pia alikuwa anahudhuria matibabu huko huko.

USHAURI:
Kama haupo njema kifedha kwa mwaka mmoja na, sikushauri uende Singapore. Utapata shida bure.

Hakikisha kama upo njema utafute shule kwanza na ulipie ili wasikupe shida kupata student visa.

Ni mara mia ujaribu nchi za ulaya kama kweli unataka kwenda nje ya nchi.
Mkuu shule kwa ulaya sina uwezo wa kujisomesha mfano level ya diploma au.masters kwa Canada ada ni $12000 kwa mwaka sasa mimi nitaitoa wapi..?
 
Mara nyingi ukienda kwenye Visa free countries wanaangalia sana kama una ticket ya kurudi ndani ya zile siku za free, pia proof of residence kama hotel nk, pia wanaweza kuuliza purpose ya visit yako na wakaomba vitambulisho kama itaonekana haujielezi vizuri.

Bahati nzuri mie almost nchi zote nilizowahi kwenda ambazo ni Visa free nimekuwa nikitoa passport wanauliza return ticket basi nagongewa visa fsta, labda kidogo Malaysia ndio waliniuliza vimaswali kadhaa na nilikuwa na jamaa alisahau kuniambia hotel aliyonichukulia nikawa nahangaika kumpigia Ila aliwaambia wakaconfirn Sheraton ya Subang province west Java.

Mostly ukienda kwa kaunta anamuangalia kama upo suspicious, muonekano wa nje inasaidia sana pia, unakuta kijana kavaa microphone anatafunatafuna big G, haujielezi purpose na hana hela au residence ni zile za uswekeni aisee wanakudetain kwanza wakuhoji vizuri.

Ukishindwa kutoa majibu yanayoeleweka safari unaishia hapo next flight wanakutua DSM
Umemaliza mjadala.

Hakuna guarantee kwamba utaruhusiwa kuingia kwenye nchi ambayo hawahitaji visa. Uiingie au la itakuwa determined na jinsi utakavyojibu maswali pale port of entry.

Vilevile hakuna guarantee kwamba ukipata visa ya kwenda marekani ndiyo utaruhusiwa kuingia, inategemea na ulivyojipanga incase ukiulizwa maswali at the port of entry.
 
Mara nyingi ukienda kwenye Visa free countries wanaangalia sana kama una ticket ya kurudi ndani ya zile siku za free, pia proof of residence kama hotel nk, pia wanaweza kuuliza purpose ya visit yako na wakaomba vitambulisho kama itaonekana haujielezi vizuri.

Bahati nzuri mie almost nchi zote nilizowahi kwenda ambazo ni Visa free nimekuwa nikitoa passport wanauliza return ticket basi nagongewa visa fsta, labda kidogo Malaysia ndio waliniuliza vimaswali kadhaa na nilikuwa na jamaa alisahau kuniambia hotel aliyonichukulia nikawa nahangaika kumpigia Ila aliwaambia wakaconfirn Sheraton ya Subang province west Java.

Mostly ukienda kwa kaunta anamuangalia kama upo suspicious, muonekano wa nje inasaidia sana pia, unakuta kijana kavaa microphone anatafunatafuna big G, haujielezi purpose na hana hela au residence ni zile za uswekeni aisee wanakudetain kwanza wakuhoji vizuri.

Ukishindwa kutoa majibu yanayoeleweka safari unaishia hapo next flight wanakutua DSM
Umenena vyema na siwezi kuongeza chochote. Nami pia walinisumbua wakati narudi Singapore nikitokea Malaysia pale Johor Baru lakini yule mzee wa immigration alikuwa fare sana.
 
Back
Top Bottom