Natafuta laptop

Mzaleee

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,646
3,109
Wakuu nina pesa kiasi cha 200,000 nahitaji PC either mpya au used iliyo ktk khali nzuri
Battery iwe ina uwezo wa kukaa na charge masaa 2 nakuendelea
Itapendeza kama utaweka Aina ya laptop unayouza pamoja na picha
NB:
Pesa inaweza ongezwa kufuatana na laptop yako njisi ilivo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom