Search results

  1. slow_learner

    The following are signs of fake nice people

    Hello good people! In this really life I've come to realize some of our community members we must know them and obey their characters. Here are some of behaviours of fake people in our entire society and life at all; Insincerity: Fake nice people may appear polite and friendly, but their...
  2. slow_learner

    Wapi nitapata kundi la kuibua kipaji Cha kuigiza?

    Wakuu wa JF habari zenu nzuri? Kiukweli nimetokea kupenda fani ya kucheza michezo ya kuigiza kwenye luninga lakini sina vyanzo vya kunisaidia kukamilisha wazo na kusudi la moyo wangu kwa sasa. Nimekuwa nikifikiria na muda mwingi kuwaza ni kwa namna gani naweza Anza kuigiza na kuwa muelimishaji...
  3. slow_learner

    Utaniambia nini?

  4. slow_learner

    Biashara ya vibua mikoani

    Jamani habari za humu wana JF. Napenda kuulizia kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya samaki. Hivi samaki aina ya vibua ukiwapeleka mikoani kwa ajili ya mauzo wanauzika? Wajasiriamali nisaidieni kujua hili maana nafikiria kuanza kusafirisha samaki kupeleka mikoani kama vile Singida na Tabora.
  5. slow_learner

    Ni biashara ipi nifanye kuanzia mwezi April kwa mtaji huu wa 70,000?

    Habari wana JF. Natumia Kila mmoja Wenu yuko vizuri. Mimi nahitaji mtu wa kunishauri nifanye biashara ipi kuanzia mwezi April kwa mtaji wa TZS 70,000. Sijawahi kufanya biashara na wala sina ujuzi wowote namna ya kusimamia biashara hiyo nitakayoianzisha. Nahitaji mtu wa kunisaidia ni kitu...
  6. slow_learner

    Nataka kuacha chuo nijihusishe na shughuli za ujasiriamali

    Habari ndugu wana JF Mimi kutokana na maisha kuwa magumu nafikiria kuacha chuo ili nijihusishe na uzalishaji Mali. Nazungumza haya kutokana na kauli ama ushauri wa POLEPOLE kwa wanachuo waliokosa mkopo. Nimefikia uamuzi huu ila sijajua nianze kufanya shughuli gani. Duh! Itanibidi niitekeleze...
  7. slow_learner

    Nitafanya nini Maana naona giza huko mbeleni hasa mustakabali wa elimu na maisha

    Natanguliza salamu zangu za mwaka mpya 2017 kwa wana jamii wote. Mimi ni kijana mtanzania ambaye Nimepata misukosuko katika mchakato mzima wa elimu tangu nikiwa elimu ya msingi. Nilibahatika kujiunga na elimu ya upili mwaka 2008 pamoja na kuwepo matatizo kadha wa kadha nilifanikiwa kuhitimu...
  8. slow_learner

    Clouds ndo habari ya mjini. TBC wapi?

    VIDEO FUPI: Rais Magufuli alivyopiga simu leo kwenye Clouds360 ya Clouds TV: VIDEO FUPI: Rais Magufuli alivyopiga simu leo kwenye Clouds360 ya Clouds TV - millardayo.com
  9. slow_learner

    Article: George Michael: Christmas 2016 becomes his Last Christmas; what's the message?

    George Michael: Christmas 2016 becomes his Last Christmas; what's the message? George Michael: Christmas 2016 becomes his Last Christmas; what's the message?
  10. slow_learner

    Clinton Says ‘Personal Beef’ by Putin Led to Hacking Attacks

    https://www.google.com/amp/mobile.nytimes.com/2016/12/16/us/politics/hillary-clinton-russia-fbi-comey.amp.html?client=ms-android-samsung
  11. slow_learner

    Kama elimu ya juu ndo hii? Bora nikauze mchicha

    Inaumiza sana kuona baadhi ya vijana wa kitanzania waliojiunga na elimu ya chuo kikuu wanarudi makwao. Serikali ni bora ikajipanga vyema kuwanusuru vijana hawa maana wanaandaa kundi la watu wenye chuki na Serikali. Kama hali ndo hii bora nikauze mchicha ili niweze kujikimu kimaisha kuliko...
Back
Top Bottom