slow_learner
Senior Member
- Nov 24, 2016
- 139
- 110
tayari nishakujibuWew ni me/ke tuanzie hapo kwanza
Umejibu vema mkuuPolicy hii haipo kumsaidia mwananchi bali kuneemesha pato la serikali.
Pia haijali ukiukwaji wa misingi ya utawala bora bali inachokiangalia ni kusonga mbele pasipo kujali maumivu ya umma.
Unafikiri kupunguza kipimo kunaathiri ufanisi katika kazi? La hasha muda wa kugandisha utabaki kuwa ule ule.Mkuu..!
Fridge langu huwa lina uwezo wa kuhifadhi barafu 50 kwa wakati mmoja.
Sasa huwa nikiweka barafu 20 huwa zinaganda kwa masaa 5, leo nataka nigandishe 15 tu..!
Unafikiri baada ya muda gani zitakuwa zimeshaganda zote?
Slow learner!Unafikiri kupunguza kipimo kunaathiri ufanisi katika kazi? La hasha muda wa kugandisha utabaki kuwa ule ule.
Na je, Serikali ni nani??Policy hii haipo kumsaidia mwananchi bali kuneemesha pato la serikali.
Pia haijali ukiukwaji wa misingi ya utawala bora bali inachokiangalia ni kusonga mbele pasipo kujali maumivu ya umma.
Utanilipa?
Kwa kazi gani uliyoifanya?Utanilipa?
Kwa tafsiri ya kidemokrasia serikali ni umma ila kaa ukijua kuwa baadhi ya watu wanaweza kutumia umma kuibinafsisha serikali na ndipo hubadilika na kuitwa serikali ya kiimla au mabavu.Na je, Serikali ni nani??
Nafasi yako sasa. waweza kuuliza,Nitakuuliza ukinipa hiyo nafasi.
Ni utawala ambao huzingatia misingi ya kidemokrasia pasipo kuvunja katiba ya nchi ambayo imeridhiwa na wananchi wake.Nini maana ya utawala bora? Na vipi ni viashiria vya huo uwepo wa utawala bora? Unadhani kwa sasa Tanzania yapi ni maslahi ya umma? Tuanzie hapo.
Slow learner!
Maji hugandishwa kuwa barafu..!
Kwanini nikuulize?Nafasi yako sasa. waweza kuuliza,