Ni biashara ipi nifanye kuanzia mwezi April kwa mtaji huu wa 70,000?

slow_learner

Senior Member
Nov 24, 2016
139
110
Habari wana JF.
Natumia Kila mmoja Wenu yuko vizuri.

Mimi nahitaji mtu wa kunishauri nifanye biashara ipi kuanzia mwezi April kwa mtaji wa TZS 70,000.

Sijawahi kufanya biashara na wala sina ujuzi wowote namna ya kusimamia biashara hiyo nitakayoianzisha.
Nahitaji mtu wa kunisaidia ni kitu kipi nifanye ili na Mimi niweze kuwa miongoni Mwa wajasiriamali wanaojitegemea kwa mtaji.

@nimechokakusaidiwakilakitu
 
Uza genge la Nyanya na matunda, kodi la mtu yeyote kwa siku uwe unamlipa hata buku zinazobaki uwe unafata matunda kila alfajiri na kuuza kutwa
 
Habari wana JF.
Natumia Kila mmoja Wenu yuko vizuri.

Mimi nahitaji mtu wa kunishauri nifanye biashara ipi kuanzia mwezi April kwa mtaji wa TZS 70,000.

Sijawahi kufanya biashara na wala sina ujuzi wowote namna ya kusimamia biashara hiyo nitakayoianzisha.
Nahitaji mtu wa kunisaidia ni kitu kipi nifanye ili na Mimi niweze kuwa miongoni Mwa wajasiriamali wanaojitegemea kwa mtaji.

@nimechokakusaidiwakilakitu
Uza matunda kama wale wadada wa kariakoo.
 
Back
Top Bottom