Wapi nitapata kundi la kuibua kipaji Cha kuigiza?

slow_learner

Senior Member
Nov 24, 2016
119
85
Wakuu wa JF habari zenu nzuri?
Kiukweli nimetokea kupenda fani ya kucheza michezo ya kuigiza kwenye luninga lakini sina vyanzo vya kunisaidia kukamilisha wazo na kusudi la moyo wangu kwa sasa. Nimekuwa nikifikiria na muda mwingi kuwaza ni kwa namna gani naweza Anza kuigiza na kuwa muelimishaji mzuri kupitia sanaa ya maigizo.
Msaada wa mawazo na ni kwa namna gani naweza timiza hili.
Napatikana IFUGANDI NYANG'HWALE GEITA.
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom