Biashara ya vibua mikoani

slow_learner

Senior Member
Nov 24, 2016
139
110
Jamani habari za humu wana JF.

Napenda kuulizia kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya samaki. Hivi samaki aina ya vibua ukiwapeleka mikoani kwa ajili ya mauzo wanauzika?

Wajasiriamali nisaidieni kujua hili maana nafikiria kuanza kusafirisha samaki kupeleka mikoani kama vile Singida na Tabora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom