Kama elimu ya juu ndo hii? Bora nikauze mchicha

slow_learner

Senior Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
152
Reaction score
144
Inaumiza sana kuona baadhi ya vijana wa kitanzania waliojiunga na elimu ya chuo kikuu wanarudi makwao.

Serikali ni bora ikajipanga vyema kuwanusuru vijana hawa maana wanaandaa kundi la watu wenye chuki na Serikali.

Kama hali ndo hii bora nikauze mchicha ili niweze kujikimu kimaisha kuliko kusoma chuo bila mkopo.

Inatisha sana
 
ogopa hadi serikali inadhurumu rambirambi za wahanga ujue kuwa serikali haina pesa.

swissme
 
Inaumiza sana kuona baadhi ya vijana wa kitanzania waliojiunga na elimu ya chuo kikuu wanarudi makwao.

Serikali ni bora ikajipanga vyema kuwanusuru vijana hawa maana wanaandaa kundi la watu wenye chuki na Serikali.

Kama hali ndo hii bora nikauze mchicha ili niweze kujikimu kimaisha kuliko kusoma chuo bila mkopo.

Inatisha sana
Uskate tamaa boy....tutakufa nao kijerman
 
Mimi pia nimekosa ila nimeappeal na nasubiri majibu. Tena mbaya zaidi nasoma kozi ya afya yenye kipaumbele na nimesoma serikali o level and a level. God bless Tanzania.
 
Da! Polen VP mkijaribu ajir hat binafsi nnchi jirani au hao kama bongo UA inch iweke ajira kW kipndi cha miaka 5 kama pr
 
Mimi pia nimekosa ila nimeappeal na nasubiri majibu. Tena mbaya zaidi nasoma kozi ya afya yenye kipaumbele na nimesoma serikali o level and a level. God bless Tanzania.
kama vipi tupia namba yko ya cmu nkupigie nkupe update za board loan mkuu
 
Mimi pia nimekosa ila nimeappeal na nasubiri majibu. Tena mbaya zaidi nasoma kozi ya afya yenye kipaumbele na nimesoma serikali o level and a level. God bless Tanzania.
Mkuu kama wewe si mremavu mkopo utausikia kwenye bomba...inabidi usiwe na Mguu au mkono....me ni miongoni mwa waliokosa mkopo...ila kwa juhudi nilizofanya kuanzia uongozi wa chuo..bodi ya mikopo hadi wizarani naona Giza Pesa hakuna na kilio hiki ni cha wanafunzi wengi...marafiki zangu wamekata tamaa japo tumechaguliwa kozi za kipaumbele na wengine wameisharejea makwao..hali ni mbaya hata mie nimelipa direct cost nasubiri siku zangu nami nitimuliwe kwa kushindwa kumaliza ada.
 
Inaumiza sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkuu kama wewe si mremavu mkopo utausikia kwenye bomba...inabidi usiwe na Mguu au mkono....me ni miongoni mwa waliokosa mkopo...ila kwa juhudi nilizofanya kuanzia uongozi wa chuo..bodi ya mikopo hadi wizarani naona Giza Pesa hakuna na kilio hiki ni cha wanafunzi wengi...marafiki zangu wamekata tamaa japo tumechaguliwa kozi za kipaumbele na wengine wameisharejea makwao..hali ni mbaya hata mie nimelipa direct cost nasubiri siku zangu nami nitimuliwe kwa kushindwa kumaliza ada.
Pamoja na hayo mimi hivi sasa nafikiria kurudi tu nyumbani kwa kuwa tayari maisha yalishakuwa magumu
Rafiki zangu tayari wamesharudi kwao ila mimi nimebakia kibishi kitu ambacho kwa sasa kinanipa wasi wasi wa kuendelea na chuo.
Sijuwi kwa sababu nililipiwa ada na wafadhili wa kizungu ndo maana nimekosa au vile kusoma private institution yaani hata sielewi.
[HASHTAG]#wachatuisomenamba[/HASHTAG]
 
Inaumiza sana kuona baadhi ya vijana wa kitanzania waliojiunga na elimu ya chuo kikuu wanarudi makwao.

Serikali ni bora ikajipanga vyema kuwanusuru vijana hawa maana wanaandaa kundi la watu wenye chuki na Serikali.

Kama hali ndo hii bora nikauze mchicha ili niweze kujikimu kimaisha kuliko kusoma chuo bila mkopo.

Inatisha sana
serikali inapokuwa na huhitaji wakubana matumizi bila mikakati haya ndio madhara halafu pia tusilaumu sana maana viongozi nao wamepata elimu duni hata uwezo wao wa kufikiria ni mdogo
 
Back
Top Bottom