Search results

  1. chilamanyika

    Hoja ya Halima Mdee na wenzake ilikufa?

    Habari wana jamvi, Kama wewe ni mfuatiliji wa siasa za bongo utanielewa. Ni kwanini viongozi wote wa chadema hawaongei kuhusu wabunge wa viti maalumu ambao walipewa jina covid 19. Ni jambo la kushangaza sana. Mikutano ya hadhara imefunguliwa Kwa Kasi kubwa na hoja nyingi kemkem lkn hojja ya...
  2. chilamanyika

    Hii idadi ya uzao sasa inatupeleka wapi?

    Wanabodi nimesoma mahali fulani katika matukio mbalimbali ya mkesha wa mwaka mpya wa 2020 imelipotiwa kuwa watoto walio zaliwa Siku ya mkesha wa mwaka 2020 ndani ya mkoa wa Dar es Salaam pekee ni 136 kati hao watoto wa kiume ni 41 pekee, Ninacho uliza je! Ndio idadi ya wanawake inazidi kuwa...
  3. chilamanyika

    Mh. Lugora amkaanga mbunge mbele ya wapiga kura wake

    Mh. Kangi lugora waziri wa mambo ya ndani yupo mkoani Rukwa kwa ziara ya kikazi, katika ziara ziara hiyo leo alikua akihutubia kwenye viwanja vya shule ya msingi Laela 'A' ktk mji mdogo wa Laela wilaya ya sumbawanga vijijini Wakati akiendelea na hotuba yake kuna minong'ono ilianza kusikika...
  4. chilamanyika

    Tamthialia ya Sultan imekosa mvuto

    Hakika tamthilia hii ilituvuta wengi kwa kadri ilivyo ilivyokua na waigizaji mashuhuri, Lakini sasa naona bora nirudi kulewa maana sultan bila hawa si chochote Iblahim pasha Khadije, Niger karfa Maiko chogro Urojo pale jikoni, Nasasa mustafa du!
  5. chilamanyika

    Wakulima wa mahindi nini hiki ebu njooni hapa tutafute ufumbuzi

    Wana jamvi salam Ndugu zangu watanzania wenzangu na hasa wakulima na wadau wa mazao ya kilimo, kuna ugonjwa umezuka unashambulia zao la mahindi kwa kasi kubwa sana Naomba kama kuna mtu, au mtaalam anaejua dawa I mean viuatilifu vinavyo weza kuwazibiti wadudu hawa tafadha naomba ushauri wenu...
  6. chilamanyika

    Uzao huu wa watoto wengi wa kike unaashiria nini hasa?

    Wana bodi salam, Kwanza niwapongeze wote ambao kwa neema zake Mwenyezi Mungu tumeweza kuuona mwaka mpya wa 2019, kama maada inavyo hoji hapo juu, ndug zangu nilikua nikifuatilia vyombo mbalimbali vya habari ambavyo vimekua vikiripoti matukio kadhaa ya hizi Siku kuu ambazo tumetoka kuzimaliza...
  7. chilamanyika

    FA CUP JUMAPILI TAREHE 22-12-2018

    Kikosi cha Laela fc. kimewasiri mjini Iringa kutokea mji wa Laela mkoani Rukwa tayali kuwakabili Lipuli fc
  8. chilamanyika

    Sumbawanga kweli ni hatari!!

    Ni mbwa mmoja mwenyewe tabia za kushangaza, Mnyama huyu anapatukana mji wa Laela wilaya ya sumbawanga vijijini mbwa huyu kwa muda mrefu amekua na tabia ya kuhudhulia misiba yote inayo tokea mjini hapo, Kitu ambacho kinawashangaza wakaazi wa eneo hilo ni kwanba mbwa huyu hua anajuaje misiba...
  9. chilamanyika

    Naomba kuuliza

    Kama ilivyo kwa vitu vingine, viatu lazima viwe viwili ili viitwe pea, na watu wakizaliwa wawili wanaitwa mapacha, je! Wakizaliwa watatu wataitwaje? Wajuvi wa mambo tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  10. chilamanyika

    Ukerewe: Diwani wa CHADEMA ajiunga CCM

    Aliyekuwa diwani wa kata ya Namilembe wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza Innocent Joseph Lusato kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametangaza kujiudhuru na nafasi zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM. Akitangaza maamuzi hayo...
  11. chilamanyika

    Huu ni ubinafsi uliokithiri kwa mbunge jumbo la kwela

    Wana body salam Nimeshangazwa sana kuona mh. Mbunge wa jimbo la kwela Iginas Marocha bila haiba wala kuogopa tens bila soni, akichukua mamilioni ya fedha zilizo tolewa hivi karibuni kwenye kila alimashauri takribani tsh.400m kuzielekeza fedha zote kijijini kwake bila kuzigawa kwenye vijiji...
  12. chilamanyika

    Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia CHADEMA, wanachama wengine zaidi ya 50 wahamia CCM

    Hama hama ya vyama inazidi kushika kasi, Leo wakati tukiazimisha miaka 41 ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi, chama hicho kimewapokea wanachama zaidi ya 50 kutoka CHADEMA akiwemo ndg James Mwanilyela aliekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Kwela kupitia tiketi ya Chadema, hata hivyo Mbwana...
  13. chilamanyika

    Umezuka ugonjwa unaoshambulia mimea ya mahindi

    Ndugu zangu wakulima umezuka ugonjwa mbaya unashambulia mimea ya mahindi kwa kasi sana, ugonjwa huu uta waathiri sana wakulima wa mahindi mkoa wa Rukwa iwapo haitadhibitiwa mapema.
  14. chilamanyika

    Elimu yetu

  15. chilamanyika

    Video ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince

    Video ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince Baada ya Eric Omondi kuachia video ya parody ya wimbo wa ‘Kuliko Jana’ wa Sauti Sol, msanii wa Bongo Fleva Barakah The Prince amemjia juu mchekeshaji huyo. Hitmaker huyo wa Nisamehe ameonyeshwa kuchukizwa na baadhi ya vipande vya kwenye video...
  16. chilamanyika

    Mh. Magufuli atekeleze ahadi kwa mlemavu huyu

    habari watu wangu. Pokezi na za kutafuta mkate wa siku. samahani ndg sijui kama hapa itakua ni sehemu sahihi ya kumfikishia ujumbe mkuu wa kaya ili aweze kutekeleza ahadi yake kwa huyu kijana mlemavu alie mpa ahadi ya baiskeli ya walemavu. MH. Jpm. Alitoa ahadi hiyo alipo kutana na...
  17. chilamanyika

    Rais Magufuli hajatoa Baiskeli ya Mlemavu aliyomuahidi Joseph Silwamba wa Sumbawanga

    Habari watu wenzangu, Samahani sijui kamahapa njia sahihi ya kumfikishishia ujumbe mkuu wa kaya Kipindi cha kampeni aliahidi kumpa baiskeli ya walemavu kijana huyu aitwae Joseph Silwamba anapatikana mji mdogo wa LAELA, Sumbawanga. Tafadhali share ili tupate ufumbuzi.
  18. chilamanyika

    Picha: Rais akiwa na mwananchi

  19. chilamanyika

    Jamiiforum

Back
Top Bottom