Wakulima wa mahindi nini hiki ebu njooni hapa tutafute ufumbuzi

chilamanyika

JF-Expert Member
Nov 20, 2016
405
272
Wana jamvi salam

Ndugu zangu watanzania wenzangu na hasa wakulima na wadau wa mazao ya kilimo, kuna ugonjwa umezuka unashambulia zao la mahindi kwa kasi kubwa sana
Naomba kama kuna mtu, au mtaalam anaejua dawa I mean viuatilifu vinavyo weza kuwazibiti wadudu hawa tafadha naomba ushauri wenu
IMG_20190112_085135.jpg
IMG_20190112_085135.jpg
IMG_20190112_084437.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bababababababababbaba

AHao sio wa leo ni wadudu wa kitambo sana,ila hawaji kila msimu

Hao kwetu kusini tunawaita RUTU hao balaa zaidi ya mafisadi.

Wakivamia shamba soku mbili tu shamba unaona vijiti vya mahindi tu majani yote hakuns.

Hao wadudu balaa mkuu,sijui dawa yake nini hawa wadudu ila wanakula huku wanatembea

Wanakula huku wanakunya kwa hyo hao usiseme watashiba,hao ni mwendo mdundo,kula na kunya tu hapo.

Daah hao jamaa wabaya sana

Hahahhahhhaha
 
Kwaiyo tutumie dawa gani kuwadhibiti?

Ha haha! Kula huku wanakunya? Sijui kwa nini usemi huo umenikumbusha chama kikongwe nchini. Au kuna uhusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bababababababababbaba

AHao sio wa leo ni wadudu wa kitambo sana,ila hawaji kila msimu

Hao kwetu kusini tunawaita RUTU hao balaa zaidi ya mafisadi.

Wakivamia shamba soku mbili tu shamba unaona vijiti vya mahindi tu majani yote hakuns.

Hao wadudu balaa mkuu,sijui dawa yake nini hawa wadudu ila wanakula huku wanatembea

Wanakula huku wanakunya kwa hyo hao usiseme watashiba,hao ni mwendo mdundo,kula na kunya tu hapo.

Daah hao jamaa wabaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Panda zai lingine haraka,ukichelewa utakuja kukilaumu kilimo na mtaji wako.Siku hizi hakuna zao ambalo halipuliziwi dawa
 
Wana jamvi salam

Ndugu zangu watanzania wenzangu na hasa wakulima na wadau wa mazao ya kilimo, kuna ugonjwa umezuka unashambulia zao la mahindi kwa kasi kubwa sana
Naomba kama kuna mtu, au mtaalam anaejua dawa I mean viuatilifu vinavyo weza kuwazibiti wadudu hawa tafadha naomba ushauri wenuView attachment 992446View attachment 992447View attachment 992450

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana. Wadau hii ni serious case na hatutendi haki kuleta majibu ya utani. Hawa wadudu wanao uwezo wa kukata mtaji wa kilimo. Lakini mtoa hoja usikate tamaa maana naona mahindi yako bado yanaweza kupona. Unatakiwa uende kwenye duka la pembejeo za kilimo na uwaonyeshe hizi picha. Dawa utakayopewa itawamaliza ili mradi ufuate maelekezo ya dozi. Kama upo jirani na morogoro, nakushauri ununue hapa dawa inaitwa Cutter. Nasema Morogoro kwa sababu najua kuna distributor wa hizo dawa. Katika huu utandawazi wa kuchakachua siamini kila duka. Tafadhali wahi haraka vinginevyo hilo shamba litafyekwa na hao jamaa. Nina haraka kidogo kama kuna swali uliza nitasaidia ninapowepaweza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hao wadudu ni kwa udhamini mnono wa fisiem wamehama toka kwa stakabadhi ghalani wamehamia shambani fisiem oyeee
 
Back
Top Bottom