Tamthialia ya Sultan imekosa mvuto

Tamthialia ya Sultan imekosa mvuto

chilamanyika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
405
Reaction score
272
Hakika tamthilia hii ilituvuta wengi kwa kadri ilivyo ilivyokua na waigizaji mashuhuri,
Lakini sasa naona bora nirudi kulewa maana sultan bila hawa si chochote
Iblahim pasha
Khadije,
Niger karfa
Maiko chogro
Urojo pale jikoni,
Nasasa mustafa du!
 
Usituletee umama wako humu jf(home of great thinkers) Hayo ma SULTANI YAKO DISCUS NA BEKI TATU WA HAPO JIRANI MNAEFANANA AKILI NAE SIO SISI.

Kwan umetumwa ucoment mkuu.afu isitoshe ili ni jukwaa la entertaiment.so hizi ndio story za humu
 
Nasikia hiyo tamthiliya inapendwa sana na mabeki tatu na watu wa jinsia ya kike mindevu na sultan wapi na wapi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwan umetumwa ucoment mkuu.afu isitoshe ili ni jukwaa la entertaiment.so hizi ndio story za humu
Entertainment za kimama haziruhusiwi Sultan ndo ma nini sasa?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tamthilia inaelwzea ottoman empire ilivyoanguka 1553 kwa mwanamke wa kirusi na mcrotia rustemaa waliidondosha hiyo empire
 
Msimzodoe mtoa post hii imebase kwenye true story ya empire ya Ottoman.. Ni kama Novel Fulani
Shida watanzania huwa hatujui entertainment zaidi ya Mpira wa miguu na Ngono!
Jamani kuna hizi Series
Kuogelea
Basketball
Kukimbia, Kick boxing
Karate
Mieleka
Car racing...... Nk.....
Kwa hiyo si ajabu mwanaume kufuatilia tamthiriya
 
Usituletee umama wako humu jf(home of great thinkers) Hayo ma SULTANI YAKO DISCUS NA BEKI TATU WA HAPO JIRANI MNAEFANANA AKILI NAE SIO SISI.
Vipi wale wanao discuss avangers endgame..wapo kundi gani?
 
Msimzodoe mtoa post hii imebase kwenye true story ya empire ya Ottoman.. Ni kama Novel Fulani
Shida watanzania huwa hatujui entertainment zaidi ya Mpira wa miguu na Ngono!
Jamani kuna hizi Series
Kuogelea
Basketball
Kukimbia, Kick boxing
Karate
Mieleka
Car racing...... Nk.....
Kwa hiyo si ajabu mwanaume kufuatilia tamthiriya
Kinachonishangaza wanaombeza mtoa mada wanaangalia GOT,VIKINGS, SPARTACUS N.K
 
Msimzodoe mtoa post hii imebase kwenye true story ya empire ya Ottoman.. Ni kama Novel Fulani
Shida watanzania huwa hatujui entertainment zaidi ya Mpira wa miguu na Ngono!
Jamani kuna hizi Series
Kuogelea
Basketball
Kukimbia, Kick boxing
Karate
Mieleka
Car racing...... Nk.....
Kwa hiyo si ajabu mwanaume kufuatilia tamthiriya
Ni ajabu sana kwa mwanaume rijali kutizama tamthilia kama ile, uajabu wake unatoka wapi lazima aanze udada au umama nikisema hivyo nadhani unaelewa siwatukani wanawake ila tabia na mienendo yao si kama ya wanaume rijali.

Kuna vitu vya kufatilia mwanaume kaka Series zinazojenga zisizo kupelekea uwe na tabia za kike mfano Spartacus n.k.

Yani wewe ukifuatilia Sultan huwezi kumwambia lolote wanao watakudharau tu hata kama ni wadogo wakikuwa lazima uwakome baba gani mlenda hivi unakuwa kama Ray kigosi ohoooo shauri yako
 
Duuh wanaume wa dar bwana yaan naskia mlilia sna hadi wengine kufkia kupoteza faham baada ya mustafa kuuliwa
 
Ubaya wa hiyo sultan upo wap? Au kwasababu imekua dubbed,mimi binafsi sijaingalia lakini sijaona kama imekaa kibeki tatu ukisoma story yake. Labda mnesema zile za waphilipino na wamexico ndio zimekaa kikike sana
Spartacus ya kiume ile wewe
What????? ile kitu ni habari ingine aiseee nimeitazama nusu Netflix subiri mwezi July kuna Spiderman nyingine
 
Back
Top Bottom