chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
Kama ilivyo kwa vitu vingine, viatu lazima viwe viwili ili viitwe pea, na watu wakizaliwa wawili wanaitwa mapacha, je! Wakizaliwa watatu wataitwaje? Wajuvi wa mambo tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app