Septemba 15, 2018 Rwanda iliwaachia huru wapinzani zaidi ya 2,000, miongoni mwa walioachiwa huru ni pamoja na Victoire Ingabire Umuhoza, Kiongozi wa Chama Cha FDU aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 15, alikuwa jela tangu 2010 kwa makosa ya uhaini.
Wiki kadhaa baada ya Victoire kuachiwa...
Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe anatarajiwa kubadilisha baraza lake na kuingiza sura mpya.
Sababu ya mabadiliko hayo ni kutokana na wizara kuongezeka kutoka 18 hadi 21.
Tofauti na baraza lilopita lililohusisha wabunge kutoka vyama vya NCCR, CUF na CHADEMA...
Propaganda zinazosambazwa na vijana wa chama cha Mapinduzi CCM na baadhi ya viongozi wake zinakiongezea chama maadui bila sababu za msingi.
Imekuwa ni kawaida kwa vijana wa chama cha Mapinduzi kumuona kila mtu adui yeyote anayekosoa viongozi wake, chama au serikali, binafsi naona kama "ujinga...
BARUA FUPI YA WAZI KWA WAPINZANI WOTE
Miaka 25 ya kupigania maslahi ya Mtanzania ni mingi sana, leo elimu ya uraia imekuwa ukilinganisha na miaka ya nyuma, kama kuna mtu hajawaelewa basi tumsamehe.
Mmeteswa, mmetekwa, mmewekwa ndani, mmekuwa mkibezwa na watawala na wafuasi wao, wengine...
Sababu kuu ya Dr. Slaa kujiengua Chadema ilikuwa ni ujio wa Edward Lowassa. Kwenye press conference yake Slaa alisema, "is Lowassa an asset or liability", kwa uelewa wangu Slaa alimaanisha, Je Lowassa amekuja kukijenga chama au kuna kitu anakitafuta, na asipokipata ataendelea kuwa loyal kwa...
Usipojiheshimu usitegemee kuheshimiwa.
"Mdee kikalishe"
"hivi kati ya Wenje na Masha nani mwanamke" nilimsikia Spika akitamka.
Kwa wanaomtetea Ndugai hebu mtueleze haya maneno yalistahili kutamkwa na kiongozi mkuu wa moja ya mihimili yetu? Kweli?
Mfano wewe ni binti halafu unamsikia baba yako...
No wonder kwanini Tanzania tunaendelea kuburuzwa na kutengwa kwenye EAC, kama tutaendelea kupeleka wawakilishi EALA kwa mihemko ya kisiasa, yaani unampeleka Fancy kutetea taifa kufanya lobbying mbele ya wanasheria nguli kutoka Kenya, Uganda unawaacha wanasheria wazoefu kina Taslima, Macha kwa...
Kufungia vyombo vya habari au kuzuia mikutano ya kisiasa kamwe hakukuzi uchumi, sana sana kutaongeza umasikini kwa wananchi ambao kula yao inategemea siasa au kuandika habari.
Kuna mambo muhimu kwako ambayo unatakiwa kuyafanya ili ukuze uchumi. Mwenzako Trump kaanza kwa kujitoa kwenye biashara...
Utaratibu wa Rais Magufuli kuwatumia askali wa JWTZ kwenye uongozi wake unatakiwa kufanywa kwa tahadhari kubwa.
Tumeshuhudia katika teuzi zake nyingi akiteua makamanda wa JWTZ kuwa ma RC, ma DED, ma RC, ma RAS, vingine vikiwa vyeo vya kisiasa, na hivi karibuni amemteua Mkuu wa Majeshi mstaafu...
Tumeshuhudia siku za hivi karibuni polisi imekuwa ikihangaika na matamshi ya Mbunge wa Singida Mashariki Mh. Tundu Lissu kuwa rais Magufuli ni "dikteta uchwara".
Hebu tujiulize nini hasa lengo la hili sakata kwa pande zote zinazovutana.
Haiwezekani mtu unakamatwa/shitakiwa kwa kosa fulani...
Kwa mwonekano wa nje hii mahakama inaonekana kama kitanzi kwa mafisadi papa, kinyume chake kitakuwa kilio kwa watu wanyonge wasio na hatia, wasio na majina, wasio na uwezo wa kuhonga majaji.
Litakuwa kaburi kwa watu walioonekana na watakaoonekana kwenda kinyume na wateule, hawa ni pamoja na...
Bunge ni moja ya mihimili mikuu mitatu ya Taifa ambayo ni Dola, Bunge na Mahakama. Katiba inafafanua wazi majukumu ya kila mhimili na kutoa mgawanyo wa madaraka miongoni mwa mihimili hiyo. Gharama ya kupuuza maazimio au utekelezaji wa mhimili mmojawapo ni kubwa kuliko kutekeleza.
Bunge...
Familia ya aliyekuwa katibu mkuu mstaafu wa kwanza katika ofisi ya Rais, marehemu Thimothy Apiyo, imeishukuru Serikali kwa kuweka nishati ya umeme katika Kijiji cha Marasibora, wilayani Rorya, siku mbili baada ya kifo cha ndugu yao.
Mwananchi.
Ndugu wana jamvi wenzangu ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu.
Nimepata 'Merit' in Msc. Operations Research and Statistics.
Kwenye hii course tulikuwa wanafunzi 15 toka mataifa mbalimbali Mtanzania nikiwa pekeyangu.
Mmoja tu ndiye aliyepata Distinction, mmoja...
Wakuu nimeona videos za JK anaongea kwenye Forum .Kwanza Brown hakumtambulisha kwa staha sana kama alivyo fanya kwa Zuma na Odinga .Najua mtabisha lakini kuna ushahidi wa jinsi alivyo mtambulisha JK kwenye panel .
JK naye kapewa nafasi anaanza kuongea kama anaongea na wazee wa CCM mkoa wa Dar...
Takribani miaka mitatu na nusu imebaki sasa kuwepo madarakani, usipoangalia kwa makini utafikiri ni mingi mno lakini nakukumbusha kuwa muda wako u karibu kwisha kama ni jua ni la magharibi. Kwenye utawala wako kuna mengi mazuri umeyafanya lakini vile vile kuna mengi mabaya umeyafanya kubali...
A £1 million reward has been offered for the capture of Colonel Muammar Gaddafi as Foreign Secretary William Hague called on the Libyan dictator to recognise his 42-year rule was over and stand down his forces.
Soma hapa £1m for Gaddafi 'dead or alive'
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imemshtaki katika Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya BP, Engelbert Kongolo ikiiomba aeleze kwa nini asifungwe kwa kukataa kufuata amri ya utii (Compliance Order) iliyotolewa na mamlaka hiyo.
Ewura ilifungua...
Wakili maarufu jijini Arusha, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha kwenye akiba yake binafsi, zinazodaiwa kuingia kwa njia isiyo halali. Wakili huyo aliyejijengea umaarufu nchini kutokana na uendeshaji kesi zake, anadaiwa kukamatwa Agosti 2, mwaka huu wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.