£1m for Gaddafi 'dead or alive'

£1m for Gaddafi 'dead or alive'

Feedback

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
7,988
Reaction score
4,514
A £1 million reward has been offered for the capture of Colonel Muammar Gaddafi as Foreign Secretary William Hague called on the Libyan dictator to recognise his 42-year rule was over and stand down his forces.

Soma hapa £1m for Gaddafi 'dead or alive'

Naona wameamua kumfanyia 'finishing' Gaddaffi!

Safi sana rebels kwa kazi ya kumtoa khaa'daafu. Sasa malizeni ili akatangulie kwa Allah.

nchi za magharibi zikiongozwa na marekani....Sasa Africa itabaki bila msimamo kama baamedi aliyefiwa na mumewe......''mwafrika hasaidiki kazoea shida ..twende kazi''

kuna propaganda zimepangwa ulimwengu
uaminishwe kuwa Kamanda katutoka.
Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe
kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu
''We know he will not die.'' We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
Allah akbar

kuna propaganda zimepangwa ulimwengu

uaminishwe kuwa Kamanda katutoka.

Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe

kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu

''We know he will not die.'' We know he will not die.

We know he will not die.

We know he will not die.

We know he will not die.

Allah akbar

yeye Mungu hadi asife?sema siku yake haijafika.

Back
Top Bottom