Search results

  1. mahingah

    Nahitaji paka wa kufuga

    Nipo Kigamboni, mwenye paka wadogo nahitaji, asiwe rangi nyeusi kama kachanganya rangi poa.
  2. mahingah

    Nahisi mshawahi kumuona Nelson Ntombela Raia wa Afrika Kusini kwenye mitandao ya kijamii?

    Bila shaka umekutana sana na picha hii katika mitandao, mfahamu mhusika wa picha hiyo. Nelson ni mkazi wa Kagiso, Krugersdorp nje ya mji wa Johannesburg, amezaliwa April 6, 1987 akiwa ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba. Nelson amekulia katika mitaa ya wahuni, alikuwa muhuni pia wakati wa...
  3. mahingah

    Rais Magufuli, tafadhali angalia madudu yaliyopo TPA, na bodi nzima ya TPA kuna mengi yakutisha pato la taifa linapotea

    Bandari ni moja ya chanzo kikubwa cha uchumi wetu, kuna baadhi ya mambo yanatokea TPA kwanzia bandari ya Dar es salaam na Bandari za maziwa mfano Mwanza, Kigoma na Nyasa. Kuna upigaji wa hali ya juu katika hizi bandari wakubwa wanapiga kesi zinapelekwa kwa wafanyazi ili kulinda cheo, tunakuomba...
  4. mahingah

    Kwanini Ikulu yetu ya Tanzania (Magogoni) isiwe chanzo cha Utalii Kwa Dar kuliko kuwekwa kwa usiri mzito?

    Nina miaka miwili toka nifike hapa Dar kikazi,kitu ambacho nilikuwa na ndoto ya kuja kukiona na kupiga picha ni Ikulu ya Dar es salaam(white house), lakini nilicho kishuudia ni usiri wa hali ya juu hadi kuweka mabati usiweze kuona ndani wakati Kwa wenzetu Kama Marekani ikulu imekuwa Kama kivutio...
  5. mahingah

    Msaada fundi wa TV flat screen, TV yangu imegoma kuwaka

    Nina TV yangu kampuni ya PHILIPS imegoma kuwaka toka juzi inawaka taa nyekundu tu, nilijua kutotumia remote nikaenda kununua lakini wapi haiwaki. naombeni msaada Kwa anayejua fundi wa hizi TV, Sio smart ni ya kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mahingah

    Nahitaji kubadili jina naomba kujuzwa utaratibu wake

    Mimi ni kijana nimemaliza chuo mwaka huu ngazi ya Degree, katika makuzi yangu ya kimasomo kuanzia darasa la kwanza hadi la saba nimekulia kwa bibi yangu mzaa mama huko kijijini, wakati naandikishwa darasa la kwa bibi aliniandikisha la ukoo na la utotoni la upande wa mama. Nilikuwa nakuja Dar...
  7. mahingah

    Star Times imekuwa kero kwetu

    Hivi ving'amuzi vya star times vimekuwa sana kero kila Mara kuharibika, Mbona wezenu multchoice (DSTV) hawa huu usumbufu. Toka ninunue king'amuzi chenu hii zaidi ya Mara mbili kinaharibika na nikifika kwenye ofisi zenu kuna ujanja mwingi sana wa kupingwa bei ya matengenezo na mafundi wenu...
  8. mahingah

    KWA WAISLAMU AU WAKRISTO WANAJUA HILI

    mimi ni mkristo wa Roman Catholic (RC) nikiwa darasa la tano nilibahatika kwenda mji mtakatifu Israel coz shule yetu ilikuwa inadhamini na watu kutoka nchi hiyo kila mwaka kuna wanafunzi walikuwa wanaenda kwa wiki mbili haijalishi dini gani.Toka nilivyo toka Israel hadi nilivyo kuwa sasa mtu...
  9. mahingah

    Tunapulizia dawa ya kuua wadudu majumbani

    Tunapulizia dawa za kuuwa wadudu majumbani, kwenye ofisi na mazingira mbalimbli.kama vile mbu ,viroboto, mende,kunguni,na wadudu wengine, tunatoa huduma bora hutojutia daima. Call: 0655 166597 : 0766 006509 Tupo dsm- Mabibo Karibu tukufanyie usafi
  10. mahingah

    Tamasha la fiesta la clouds linakosa msisimko kila mwaka,ukilinganisha na miaka ya nyuma

    Nimekuwa mpenzi wa kufatilia TAMASHA hili la FIESTA toka mwaka 2008,pale Kusaga alipo mleta 50 CENT,miaka ya nyuma hili tamasha lilikuwa la kuvutia Sana kuanzia maandalizi hadi juu ya stage hadi nchi Za jirani walikuwa wanalifatilia, lakini Miaka ya Hivi karibuni naona limepoteza mvuto...
  11. mahingah

    Clouds redio matangazo ni mengi sana hadi yanapoteza ladha ya kusikiliza kipindi

    Nimekuwa mpenzi wa kusikiliza vipindi vya clouds FM na kuangalia clouds TV toka REDIO FREE AFRICA ilipoanza kupoteza ubora wake, lkn tatizo ya redio hii ya clouds matangazo nimengi Sana haipiti hata Dakika kumi Matangazo hadi ladha ya vipindi inapotea,najua Matangazo ndo chanzo cha kipato cha...
  12. mahingah

    Majina ya chuo cha NIT yanatoka lini?

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza mwaka huu form six, nilichaguliwa first selection. Kwenye uchaguzi wa vyuo nilijaza vitatu hadi sasa viwili tayari na jina langu halipo, kimebakia NIT ndo chuo nilichochagua cha kwanza. Lakini hadi sasa hawajatoa majina nimechoka kukaa mataani. Anayejua...
Back
Top Bottom