Majina ya chuo cha NIT yanatoka lini?

Majina ya chuo cha NIT yanatoka lini?

mahingah

Senior Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
198
Reaction score
277
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza mwaka huu form six, nilichaguliwa first selection. Kwenye uchaguzi wa vyuo nilijaza vitatu hadi sasa viwili tayari na jina langu halipo, kimebakia NIT ndo chuo nilichochagua cha kwanza. Lakini hadi sasa hawajatoa majina nimechoka kukaa mataani.

Anayejua anitaarifu kuwa yanatoka lini?
 
mimi ni mwanafunzi niliye maliza mwaka huu form six,nilichaguliwa first select kwenye uchaguzi wa vyuo nilijaza vitatu hadi sasa viwili tayari na jina langu halipo,kimebakia NIT ndo chuo nilicho chagua cha kwanza,lkn hadi sasa hawajatoa majina nimechoka kukaa mataani,anaye jua anitaarifu kuwa yanatoka lini?
mkuu hiki chuo huwa hatuna haraka kabisa hapa jiandae kisaikolojia kurpot mwezi wa 11 katikat au mwishon relax....
 
hata wa mwaka wa pili na tatu wanaripoti mwezi huo
 
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza mwaka huu form six, nilichaguliwa first selection. Kwenye uchaguzi wa vyuo nilijaza vitatu hadi sasa viwili tayari na jina langu halipo, kimebakia NIT ndo chuo nilichochagua cha kwanza. Lakini hadi sasa hawajatoa majina nimechoka kukaa mataani.

Anayejua anitaarifu kuwa yanatoka lini?
Hata chuo kikuu cha Mzumbe hadi leo bado ndugu yangu...sijui nao wanafungua mwezi wa 11 au la..no any announcement but the prolo
nged silence which make students puzzled...
 
Mwezi wa kumi na moja......tulioko chuo sasa tunamaliza mwezi wa 11 kukaribisha wageni
kaka unamaanisha mm chuo kukiona hadi mwezi wa 11,sikufichi man nimechoka kukaa home
 
Back
Top Bottom