Star Times imekuwa kero kwetu

mahingah

Senior Member
Oct 4, 2016
190
250
Hivi ving'amuzi vya star times vimekuwa sana kero kila Mara kuharibika, Mbona wezenu multchoice (DSTV) hawa huu usumbufu. Toka ninunue king'amuzi chenu hii zaidi ya Mara mbili kinaharibika na nikifika kwenye ofisi zenu kuna ujanja mwingi sana wa kupingwa bei ya matengenezo na mafundi wenu.

Mbona DSTV hawana mambo haya. Pale ofisi zenu Bamaga wale mafundi wa wale madad customer care wote wezi wanawaibia sana wateja wamewageuza kama kitega uchu chao,

Badilikeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
3,863
2,000
Badilisha king'amuzi...Mimi natumia toka 2011..Nimebadilisha tu remote baada ya vijana kuivunjavunja.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom