Search results

  1. blance86

    Gadner Habash, Mtangazaji mahiri asiye na maadili

    We jamaa umeangalia huu uzi ni wa mwaka gani au umemshambulia tu mleta mada?
  2. blance86

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Ila wazee wa kichaga pesa zao walizipata kibishi mnoo
  3. blance86

    INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

    Mkuu hiyo piki piki bado ipo
  4. blance86

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    "HII NDIO SABABU YA SHUSHO KUMUACHA MUMEWE" "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili...
  5. blance86

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Daaah...we jamaa kweli zombi yaani ulishachukua uamuzi mzuri tu eti mtu mzima akautengua😂 watu wazima wenyewe ndio awa wamiaka wasiojiheshimu endelea nae mpk akuuee mmbwa ww
  6. blance86

    Kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa vyuo vya VETA nchini, Kamati ya Bunge ya PAC yaishauri serikalini iajiri walimu toka India na China

    Asilimia kubwa ya waalimu wa veta ni wale wanafunzi waliosoma hapo wakafanya vizuri hubakizwa na baadae kupelekwa kusoma na kurudi kufundisha au huu utaratibu haupo tena?
  7. blance86

    Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Sasa siku jichanganye hao askari wanaopandisha hiyo bendera wakuone ndio utajua maana yake vizuri
  8. blance86

    Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kwaiyo castle lite itauzwa bei gani wakuu
  9. blance86

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Enewei tutafute pesa wakuu
  10. blance86

    Tanzania limejitokeza tabaka la "wenye nchi" ambao wanaona hawastahili kuendesha gari kwenye foleni na wana haki ya kutofuata sheria za barabarani

    Bado haujakutana na zile nissani new model za familia ya GSM zunafujo kuliko usalama wa taifa
  11. blance86

    Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

    Hapana kila mtu kapanga apartment yake na hawa jamaa wasingekuwa wanakaa kambini mda mrefu wanayanga tungekufa kwa presha[emoji23]
Back
Top Bottom