IDDY S MHANDO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,793
- 12,586
- Thread starter
- #21
unayo ngapi tufanye biasharakwaiyo na wewe ulinunua mil 3?
unayo ngapi tufanye biasharakwaiyo na wewe ulinunua mil 3?
nimesha kiuza... amini hivyoumesahahu kama tuliongea na nikafika bado kiwanja kipo lile eneo. Au umesahau ndugu yangu ukanipa na mawasiliano?
haya bei imeshuka lete 1.9m uchukue2.4?
Sijui huwa mnadhani hapa mjini wote ni wakuja
bei imeshuka mkuu lete 1.9m nikupe wacha maswali mengi weka pesa mezani🤣🤣🤣kwaiyo na wewe ulinunua mil 3?
shauri yako mficha uchi hazai.nimesha kiuza... amini hivyo
Mkuu ww pia ni kama una tatizo mahali, mhusika anakujulisha ashauza ww hautaki, na cha kushangaza unasema juzi tu mmeongea, je, kama mteja kapatikana jana wakaelewana akauza, au tuseme wewe uliblock wateja wote wasiwasiliane na ndugu muuzaji?shauri yako mficha uchi hazai.
Mkuu yaani juzi tu tumetoka ongea leo ushakiuza? No yako mwisho si 794? Khaa
Haya hongera
uwe unaacha ujuaji sura kama pumbu la babu yako.Mkuu ww pia ni kama una tatizo mahali, mhusika anakujulisha ashauza ww hautaki, na cha kushangaza unasema juzi tu mmeongea, je, kama mteja kapatikana jana wakaelewana akauza, au tuseme wewe uliblock wateja wote wasiwasiliane na ndugu muuzaji?
shauri yako mficha uchi hazai.
Mkuu yaani juzi tu tumetoka ongea leo ushakiuza? No yako mwisho si 794? Khaa
Haya hongera
Mkuu ww pia ni kama una tatizo mahali, mhusika anakujulisha ashauza ww hautaki, na cha kushangaza unasema juzi tu mmeongea, je, kama mteja kapatikana jana wakaelewana akauza, au tuseme wewe uliblock wateja wote wasiwasiliane na ndugu muuzaji?
🤣🤣🤣🤣khaaaa kiwanja tangu 2016 na napita hapo nakiona nauliza unasema bado kipo wewe umeuza lini kwani ndugu yangu?🤣🤣🤣ardhi dar es salaam ni hot... uwezi kuitangaza seriously ukakosa mteja... haki vile nimesha kiuza...!
mlikuwa wanunuzi zaidi ya wanne ametokea mmoja amefika bei na amekinunua...!
🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣khaaaa kiwanja tangu 2016 na napita hapo nakiona nauliza unasema bado kipo wewe umeuza lini kwani ndugu yangu?🤣🤣🤣
ilishauzwaMkuu hiyo piki piki bado ipo