Ratco hawaendi MombasaItakuwa ni Ratco hilo
Tahmeed.....Mombasa DarRATCO EXPRESS
happy nation hawana basi la vipNimepanda Happy Nation( BUSINESS CLASS) la saa 10:00 kutoka Bukoba to Dsm kwa NAULI ya 120,000/.
Hilo basi halina AC na pia CHOO chake haki flush tunalazimishwa kuchimba dawa kwa KUJILIPIA hiyo huduma. Konda hana jibu la malalamiko yetu yote, likiwemo la kurudishiwa nauli inayobebwa na hiyo business class. Nani mhusika kwa sakata hii?
View attachment 2861202
Nijulishe na namba yake tafadhali.
Sumatra! Iko wapi hiyo, msaidie usimpotoshe kama haujui liache lipite kwani hata namba ya simu hauijui.Piga simu Sumatra watakusaidia ,
LatraPiga simu Sumatra watakusaidia ,
Kuna tofauti ya yangi nyeusi na uswahili. Sijatukana watu weusi, nimezungumzia tabia za kiswahili.Sema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.
Kweli kabisa mkuu. Tarehe 28 Dec 2023 nilinunua tiketi ya ABOOD bus service, VVIP toka Dar- Bukoba kwa sh 110,000 /=. Ukweli hakuna cha I-Vip wowote. Ni choo tu nacho mpaka uombe ufunguliwe. Eti kwa zaidi ya 1200 KM unapewa ka - soda kamoja tu safari nzima. Hii si haki ilibidi watoe na vitafunwa.Bongo hamna basi VIP
Yuko safarini na anakula wali? Ni msukuma?Biashara ya mabasi ni biashara ya kitapeli sana.
Enzi zile kuna darlux wakawa wanasema gari ina wifi hivyo watu wakawa wanalipishwa bei ya luxury ila ukiingia ndani kila siku mtaambiwa kwamba kifaa cha wifi kina matatizo.
Mbaya zaidi wakawa kama unatokea dar wanaenda kusimama kwenye kihoteli kimoja kiko bahi, mshikaji wangu alikula pale wali aliharisha nusu afe.
Vile nilikua mteja wao siku moja nikawaambia huu Uswahili wenu ipo siku hii kampuni itakufa, kweli Uswahili ukaiua darlux.
Maisha yamebadilika kidogo sasa long safari yoyote kama sijaenda na gari binafsi basi ni flight tu. Mabadi ni waswahili sana.
Uswahili ni ile hali ya kuwa na maneno mengi sana lakini ya utapeli, ujanja ujanja, magumashi au yasiyo na tija.Sema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.
sio ratco kweliKuna bus niliwahi kupanda 2019 kutokea Tanga kwenda DSM sikumbuki jina lake ila nadiriki kusema at least hilo bus lilikuwa na hadhi ya u VIP, kwanza seats in 2 by 1, seat very comfortable na zina nafasi ya kutosha kunyoosha miguu, nili enjoy sana safari. Lilikua linatokea Mombasa > Tanga > DSM
Uswahili ni ile hali ya kuwa na maneno mengi sana lakini ya utapeli, ujanja ujanja, magumashi au yasiyo na tija.
Kuna tofauti ya yangi nyeusi na uswahili. Sijatukana watu weusi, nimezungumzia tabia za kiswahili.
Kuna mahala nimesema watu weusi ni wa hovyo?
Uswahili ni tabia, sio rangi. Ni obvious ulimwambia mtu yoyote kamba flani ana mambo ya kiswahili anaelewa unazungumzia nini na haihusiani na rangi ya weusi.
Sasa si waswahili,mi nae mswahili kwani shida kuitwa mswahiliSema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.
Sasa si waswahili,mi nae mswahili kwani shida kuitwa mswahili
.mswahili ni yule mtu anatoa ahadi zisizotekelezeka.
Umeme mgao mwisho kesho.
Mgao unaendelea.
VYakula vitapungua bei,
Kesho imezidi.
Maji yapo huku watu hawana maji.
Nchi hii tajiri sana,huku watu wanakufa maskini.
Mpk sasa wewe raia hapo ulipo unadaiwa mil km sio bil 2.
Ndo huyo mswahili,matumaini mengi utendaji zero.
We unalaumu hapa labda mangi nae ana kesi nawewe hapo mtaani.
Ulikopa unga hujalipa,
Ndo uswahili huo.
Mi nashukuru kuwa mswahili,sio zambi,
leo nikiona naelemewa basi nnapiga uswahili wangu life linaendelea.
Kesho niko sawa utashangaa
Nakupa chochote zaidi ya mara 2 toka kile nimepiga mwanzo.
Ni mambo ya kawaida tu,ila USIZULUMU MTU.