The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 806
- 1,660
Naona guiness smooth apo kati..ila kale ka-guiness kakuitwa stout ni noma ukigonga vitatu unaanza kuona maluweluwe na mapichapichaMwenzako mbona kufanya kama wao nawezagaa 🎤
Ila tatizo naona aibuu
Style zote mpaka za kuvunja chaga
Naziweza ila mpaka niwe na vibe 🍻
Basi ngoja kwanza ninywe kidogo
Nikilewa ndo nakuwa mtamu 😂😂
mshamba_hachekwi 😂😂 hatarii
View attachment 2856994