Search results

  1. Sigma

    Kubadilisha Screen ya Lenovo Smartphone

    Ilianguka ikapasuka screen. still inadispaly vizuri tu kila kitu ila imepoteza TOUCH SENSE. MSAADA tafadhali.
  2. Sigma

    Smile.... Sema Ndizzzzzzz

  3. Sigma

    Mapenzi Remix

    Disclaimer:
  4. Sigma

    Rating Elimu ya Bongo

    Hii poll iko website wizara ya elimu. Sijui hata kama wanalichungulia. Au imewekwa tu kukamilisha mahitaji. How do you rate level of education in Tanzania
  5. Sigma

    Msaada: Kutengeneza Online Database

    Medical database. Niweze kuweka short history of a patient, kuinclude Xray picture na ikiwezekana picha ya mgonjwa. diagnosis (tatizo la ugonjwa wake) matibabu, medical or surgical treatment outcome: may include xrays after operation, pictures niweze kuwa na uwezo wa kupata the whole...
  6. Sigma

    Long Time no See

    So long Since last we met. Missed you all!
  7. Sigma

    On Your Mark!!

  8. Sigma

    Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

    Hii ndio hali ilivyo katika wodi za Muhimbili, pamoja na serkali kudai huduma kurejea kama kawaida. Waandishi wa habari wanaweza kwenda kuwahoji wagonjwa wodi za SewaHaji ground floor. Hapa ni mlango wa kutokea nje ya wodi Juu: Hii ni korido inayounganisha wodi mbili Baadhi ya wagonjwa...
  9. Sigma

    Kikwete na Madokta Ikulu: Weka maneno

  10. Sigma

    MOI Wajiunga Tena na MGOMO

    Ni baada ya mabadiliko ya hali ya Ulimboka. Wagonjwa waliokwishalipia tu ndo wanaonwa leo. Emergence yasimama. Source: Mimi niko ground zero UPDATE: Kutoka gazeti la Mwananchi
  11. Sigma

    Hodi

    Nagonga "like" ka nimidata, nipe nafasi uone...
  12. Sigma

    Nini msukumo wako kujiunga na JF

    Mi kuna mada ilikuwa inahusu sehemu yangu ya kazi, taasisi yangu ilichanwachanwa vibaya jamvini ndo nikaamue nijoin. wewe je?
  13. Sigma

    Besidei Yangu JF

    Jamani nimesahau kumbe jana ilikuwa birthday yangu ya kwanza tangu nizaliwe jamvini. Wengine hatujawahi kufanyiwa pati ya besidei!
  14. Sigma

    IDs za JF na Matukio

    Kwa muda wa mwaka mmoja tangu nihamie hapa JF nimekuwa nikiona new members wakiingia jamvini na ID zinazoambatana na matukio ya kipindi hicho anachoji-register. Mfano: Janjaweed, Rais wa migomo, Chipolopolo, ENDELEA............
  15. Sigma

    Waingereza wanamwonaje Kikwete

    RichardBrunwick 26 January 2012 2:33PM Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging. Foreign companies have...
  16. Sigma

    Mradi Kigamboni: Hakuna Fidia

    Kuna mtu ataulizia....source?
  17. Sigma

    Muhimbili: Miaka 50 ya "Uhuru"

    Hizi ni wodi mpya katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili. taratibu za ufunguzi ziko pending kusubiri ratiba ya mkulu wa inji
  18. Sigma

    Post Gaddafi Libya: a Nightmare

    Hi ndo Libya mpya tuliyotengezewa waafrika
  19. Sigma

    Nimejitwika mabomu, handaki jichimbieni.

    Hodi hodi jamvini, wakubwa nawasalimu, Niliingia mitini, kwenda tafuta modemu, Nillijifekia bani, sasa narudi kwa hamu, Nimejitwika mabomu, handaki jichimbieni.
  20. Sigma

    CT scan MRI Muhimbili Buree

    Muhimbili yapunguza gharama za vipimo Tuesday, May 17, 2011, 8:50 Habari, Mtanzania Hili punguzo limeleta nafuu kubwa kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Muhimbili na MOI
Back
Top Bottom