Mradi Kigamboni: Hakuna Fidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi Kigamboni: Hakuna Fidia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sigma, Nov 13, 2011.

 1. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kuna mtu ataulizia....source?
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  ngoja faizambweha aje kutetea uamuzi wa serikali.
   
 3. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wameshauza na kugawana zamaaaani...!!!!!!! Fidia itoke wapi kama wananchi hawataki kulipa kodi?
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Whaaaaaaaaaat?
  Embu fafanua....
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mjini kuishi kazi...
  upambe hata pasipopambika.
   
 6. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  jamaa walioko kule akiri hawana wanauzwa huku wanajiona kushinda kupiga bao tu..wacha wakome.
   
 7. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,075
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  Mnashangaa nin?
  Dar es salaam ndivyo walivyoumbwa, swali lenyewe mpaka kufikia kuulizwa bungeni limegharimu vikao vingi na vya muda mrefu vya usiku na mchana huku hela za wakaazi wa eneo hilo la mradi zikiliwa kama michango ili kuifanikisha kamati hiyo kukutana na eti kufanikisha kile wakiitacho kumualika mbunge vikaoni.
   
Loading...