Kikwete na Madokta Ikulu: Weka maneno

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,006
1,254
8E9U2755.JPG
 
Du kweli kuna Utamaduni pale mlangoni.
Nilisikia akiwaambia "Hivi ni nini mnachokitaka Si Waziri wa Afya na Naibu wake tu wajiuzulu haya nitalifikiria
LAKINI LA MIMI KUJIUZULU ETI KUWAPISHA HAO WALIOWATUMA DU KAANDAENI MGOMO MWINGINE HALAFU TUONE NANI MBABE
 
hiyo pic ya kwanza anawaza............"nyie endeleeni tu, dawa yenu ipo jikoni"
 
MziziMkavu , hebu tuelezeni ujumbe wenu kwa Rais hasa ulikuwa nini ama mlisahau baada ya kupewa chai?
 
Last edited by a moderator:

Picha hii inaonesha madaktari walivyojaa na bashasha, tabasamu limewajaa wakiamini matarajio yao na yale mengine kwa niaba ya wananchi kwa kiasi fulani yatatimia.
Lakini kwa upande mwingine ni mtego, kwani kam akiongozi mkubwa kama Rais akishindwa kutoa muafaka basi hakika hakutakua na Taasisi nyingine ambayo itakua na uwezo wa kutatua.
Dk. Ulimboka anaonekana kwa uzuri kabisa, akiwa na uso mkunjufu.

"Ujafa, hujaumbika"
 
Mie ni DHAIFU na Serikali yangu haina uwezo wa kutimiza kile mnachokitaka. Naomba mnielewe hivyo.

kweli serikali haina pesa si unaona makochi ya ikulu yamachoka ki hivyo? au ndo ya kisasa vile?
 
Back
Top Bottom