Search results

  1. M

    Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

    Habari wanajamii wenzangu Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya. Baada ya...
  2. M

    Kujiangalia kwenye kioo usiku

    Wakuu twende kwenye mada, hivi ukijiangalia kwenye kioo kikubwa usiku kwa muda mrefu ukiwa chumbani mwako ukiwa umezima taa je kuna madhara yoyote unaweza kuyapata kiroho? Wanazengo tupeni maoni yenu.
  3. M

    Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

    Wenye uzoefu na mabinti wenye type hiyo tupeni sifa na changamoto zao.
  4. M

    Ajali ya gari Mkuranga

    Habari Wanabodi kuna ajali ya gari imetokea usiku wa kuamkia leo barabara kuu ya Kilwa eneo la Mkuranga kijiji cha Dundani ambapo semi la Dangote limegongana uso kwa uso na gari la Tanesco Mkuranga na kusababisha vifo kwa watu 4 sikufanikiwa kupata picha but poleni wafiwa na update zaidi atujulishe.
  5. M

    Tuliosoma Moshi tech miaka ya 90

    Wale wote tuliosoma Moshi Tech tupeane stori za miaka hiyo nakumbuka kuna Mwalimu alikuwa anaitwa Mpande ikifika saa 11 tayari yupo mabwenini anaamsha watu mchakamchaka alikuwa noma soma huyo mwalimu. Pia kuna walimu kama Munuo na yule makamu mkuu wa shule ana upara fegi masaa 24 alikuwa ni...
  6. M

    Wake za watu wananichosha

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Nafanya kazi ya kawaida tu ila nipo bize sana na mambo yangu binafsi ila kwa kweli naweza kusema wake za watu wamekuwa rahisi sana siku hizi. Nina mahusiano na wake za watu 4 ambao hawajuani na kila mmoja namla kwa wakati wake, nyumba yangu ina geti na ninaishi...
  7. M

    Msaada wa kidaktari, nahisi nimepata Gonorea

    Habari za leo wana jamvi, Naomba msaada wa kitabibu nimepata ugonjwa wa zinaa nahisi ni gono maana usaa unatoka kwa wingi na pia nasikia maumivu makali wakati wa kujisaidia haja ndogo. Nimepata ushauri na marafiki maana nimeona aibu kwenda hospital nikanunua dawa za fragil, doxy na cipro...
  8. M

    Sifa za mwanamke mwembamba

    Nataka kujua sifa za mwanamke mrefu na mwembamba maana nawapenda sana wawapo sita kwa sita na pia sio wavivu wanajituma sana kama mwenye sifa za ziada tuchangie kidogo.
Back
Top Bottom