Search results

  1. Nothing4good

    Nakaribia kuchepuka

    Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi. Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata...
  2. Nothing4good

    Ushauri: Ndoa yangu ina miaka 7, nimegundua mume wangu alinificha ana mtoto wa miaka 8

    Tumpe ushauri huyu dada. Ndoa yangu ina miaka 7 ila uhusiano wetu una miaka11. Nina watoto 2 na sasa ni mama kijacho. Mwaka Jana mwishoni nilipata kuwashwa ukeni nikaenda kupima nikaambiwa nina ugonjwa wa zinaa, nikatibiwa na nikaambiwa na mume wangu akatibiwe, nikamwambia hali halisi...
  3. Nothing4good

    huu ni ukweli au uongo

    http://Paid2Refer.com/ref.php?refId=297738 kweli inalipa au uzushi tu. hebu ifungue uione ilivo
  4. Nothing4good

    Natafuta kazi

    Mimi ni mwanamke umri miaka 23 ninatafuta kazi yoyote ili niweze kupata pesa ya ada nimalizie masomo yangu chuoni kwani hela niliyokua nayo imeisha. Na sina ndugu mwenye uwezo hata mmoja wa kunasidia please nipeni kazi yoyote mi nitafanya ilimradi tu niweze kumalizia mwaka mmoja wa masomo...
  5. Nothing4good

    Faida 6 za kuishi maisha ya ukapera

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2...
  6. Nothing4good

    Mchaga na mpare

    Kulikua na mpare na mchaga waliokua wanasafiri kwenda tabora kibiashara walipofika singinda wakaamua kuchukua gest walale kwa7bu ilikua usiku sana hakukua na magari yakwendelea na safari.kwa bahati mbaya wakapata chumba kimoja 2 na kila mmoja alikuwa na mkewe. Wakaamua kulala hivyo hivyo mpaka...
  7. Nothing4good

    Ninaomba talaka!!

    Kuna bwana na mke wake walikua honeymoon. Walipotoka huko wakaenda kwa mchungaji kuomba waachane maongezi yao yalikua hiv: mke na mume: mchungaji 2naomba uivunje hii ndoa! Mchungaji: alishangaa akasema mbona hata hamjamaliza hata wiki? Ok any way! yapi yamewasibu? Mke: mchungaji Ivunje tu...
  8. Nothing4good

    Re

    Kuna bwana na mke wake walikua honeymoon. Walipotoka huko wakaenda kwa mchungaji kuomba waachane maongezi yao yalikua hiv: mke na mume: mchungaji 2naomba uivunje hii ndoa! Mchungaji: alishangaa akasema mbona hata hamjamaliza hata wiki? Ok any way! yapi yamewasibu? Mke: mchungaji Ivunje tu...
  9. Nothing4good

    Ushauri: Mama mdogo anamsema vibaya mchumba wangu kumbe anajihusisha naye kimapenzi!

    Wandugu naomba msaada. Mimi nina mchumba wangu tuko katika mchakato wa harusi. Alishanitambulisha kwao na nikakubalika. Mimi ninaishi na mamdogo. Mamdogo ndiye aliyenilea so ni kama mamangu kwahiyo nilimpeleka mchumba wangu kwanza kwa mamdogo kumtambulisha kabila ya hatua nyingine na mamdogo...
  10. Nothing4good

    Chooni huwa wa2 wanasikia kiu???

    Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka mitano alikua na kawaida yakucheza ndan ya ua nyumba yao na kila mara alikua akifuatilia nyenzo za mama yake hasa pale mama yake alipokua amebeba kopo lenye maji na kuelea choöni baada ya muda mama yake alitoka akiwa amebeba lile kopo lakini likiwa halina...
  11. Nothing4good

    Ndugu zangu wa jf naomc 2msaidie huyu ndugu yangu!!!

    Kuna ndugu yangu kaniomba ushauri naomba munisaidie. Huyu ni msichana mwenye miaka 22 sasa ameolewa miaka 4 iliyopita tatizo lake nikwamba mumewe kamwambia akakae kwao mpaka atakapomuhitaji ataenda kumchukua. Ni hivi huyu dada alifahamiana na huyu kaka akiwa 4m two na waliendelea na mahusiano...
  12. Nothing4good

    Wana jf mbona munaniacha njia panda siwaelewi..!!!!!

    Wapendwa mbona munaniacha njia panda? Jana ni2ma thread inayosema natafuta mpenz wa mkataba.cha kushangaza wa2 wakawa wana complain kwamba nimeanza mapenz nikiwa na umri mdogo.wengine wakadriki kusema kwamba wanamiaka 26, 28, lakini hawajawah guswa/gusa. Kwani mapenz ni nini hasa? Au ndo ku...
  13. Nothing4good

    Nahitaji mpenz wa mkataba

    Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana...
  14. Nothing4good

    Nahitaji mpenz

    Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana...
  15. Nothing4good

    Msaada unahitajika'"

    Habari zenu ndugu zangu wa jf. Nina rafiki yangu alimaliza 4m four 2005 akapata D mbili2 kwa kua wazazi wake hawakua na uwezo alienda kufanya kazi za ndani. Baada ya miaka 3 akaamua kurudia mtihani mwaka 2009 akapata C moja na D mbili akarudia tena mtihani mwaka 2010 akapata D tatu Nia yake...
  16. Nothing4good

    Boss

    Secretary aliingia ofisini kwa bosi wake akaona zip ya suruali ya bosi iko waz secretary: Samahani bosi umeacha gereji wazi bosi: heheee huku akiifunga umeona benz yangu? Secretary: mmh! Hapana nimeona bajaj, halafu tairi zake...
  17. Nothing4good

    Jogoo wa padri

    Padri alipotelewa na jogoo. Akaamua kutangaza kanisani,alianza hivi nani ameona jogoo? Waumin: Wanawake wote wakasimama padri: hamjanielewa haya nani anajogoo?waumin: wanaume wote wakasimama padri: sina maana hiyo nani...
  18. Nothing4good

    Simuelewi huyu kaka

    Kuna kaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo. Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara kwa mara huwa mimi ndio nampigiaga simu nikikaa kimya inaweza ikapita wiki tatu bila mawasiliano...
  19. Nothing4good

    Msaada wa ukweli

    Napenda kumshukuru huyu kaka aliyeweka namba yake kwenye thread ya natafuta mpenz na wale wote wenye tabia ya kuweka no za simu kanisaidia sana huwezi amini nilikua nikitamani sana kuingia humu lakini nilikua siwezi.nawasalimu sana wana jf KHABARIII YA HAPA!!
  20. Nothing4good

    Msaada wa ukweli

    Napenda kumshukuru huyu kaka aliyeweka namba yake kwenye thread ya natafuta mpenz na wale wote wenye tabia ya kuweka no za simu kanisaidia sana huwezi amini nilikua nikitamani sana kuingia humu lakini nilikua siwezi.nawasalimu sana wana jf KHABARIII YA HAPA!! Ingawa namba yako uliiweka kwa...
Back
Top Bottom