Boss

Nothing4good

Senior Member
Feb 19, 2011
180
55
Secretary aliingia ofisini kwa bosi wake akaona zip ya suruali ya bosi iko waz secretary: Samahani bosi umeacha gereji wazi bosi: heheee huku akiifunga umeona benz yangu? Secretary: mmh! Hapana nimeona bajaj, halafu tairi zake mbili za nyuma zinapancha
 
nimejizuia kucheka.....nimegoma kucheka leo....ni dhambi kwa watanzania kucheka katika hali hii....na picha sitaki kupigwa
 
Duuu bosi anafikiria ana benzi kumbe bajaji ten yenye pancha:A S 13:!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom