Chooni huwa wa2 wanasikia kiu??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chooni huwa wa2 wanasikia kiu???

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Nothing4good, Mar 5, 2011.

 1. N

  Nothing4good Senior Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka mitano alikua na kawaida yakucheza ndan ya ua nyumba yao na kila mara alikua akifuatilia nyenzo za mama yake hasa pale mama yake alipokua amebeba kopo lenye maji na kuelea cho├Âni baada ya muda mama yake alitoka akiwa amebeba lile kopo lakini likiwa halina maji. Yvlf mtoto akimuuliza mama yake mtoto: mama naomba kuuliza? Mama: wewe nawe unataka kuuliza nini tena? Haya uliza mtoto:et mama huwa m nasikia kiu mnapoingia choon? Mama: hapana mwanangu kwa nini unauliza hiv? Mtoto:nikwakua nimeona wa2 wengi wakiingia chooni wanakua wamebeba makopo ya maji hivyo nikajua wakiwa choon wanasika kiu na kuyanywa hayo maji mama: alishindwa kujibu na kubaki kushangaa
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ze kid is veri gud in reasoning!!!
   
 3. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  xina mbuva!!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ndio muda mzuri wa kumfundisha kwa nini maji yanahitajika chooni!
   
 5. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mmmh,oasis in desert......very clever kid
   
 6. Matti

  Matti Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  huyo dogo nae ni great thinker. Very good.
   
 7. Garmii

  Garmii Senior Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka atakuwa kichwa badae.
   
 8. N

  Nothing4good Senior Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kumbe upo huku za shule?
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huyo dogo wakumuangalia sana ni kichwa..
   
 10. P

  People JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umeona ee.
   
 11. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Siku moja na yeye atachukua hilohilo kopo na kuingia nalo huko na kunywea maji hukohuko, yaani mpaka miaka 5, anashangaa watu kuingia na maji chooni wakati ndio mazingira anayoishi, kwani yeye hatawadhwi au ana kopo lake spesho?
   
 12. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyo dogo ni kichwa sana ni wakati muafaka wa kumuelewesha!
   
Loading...