Ninaomba talaka!!

Ninaomba talaka!!

Nothing4good

Senior Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
180
Reaction score
55
Kuna bwana na mke wake walikua honeymoon. Walipotoka huko wakaenda kwa mchungaji kuomba waachane maongezi yao yalikua hiv: mke na mume: mchungaji 2naomba uivunje hii ndoa! Mchungaji: alishangaa akasema mbona hata hamjamaliza hata wiki? Ok any way! yapi yamewasibu? Mke: mchungaji Ivunje tu hii ndoa mimi nimechoka nilifikiri iko hivi. ============> kumbe iko hivi... ==> Mchungaji akashangaa!? Haya na wewe yapi yamekusibu? Mume: nibora 2achane mimi nilifikiri iko hivi.. {} kumbe iko hivi { }
 
Sweetheart, umefurahisha lakini ningefurahi zaidi kama ungeiweka kwenye jukwaa la jokes.
???????????!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna bwana na mke wake walikua honeymoon. Walipotoka huko wakaenda kwa mchungaji kuomba waachane maongezi yao yalikua hiv: mke na mume: mchungaji 2naomba uivunje hii ndoa! Mchungaji: alishangaa akasema mbona hata hamjamaliza hata wiki? Ok any way! yapi yamewasibu? Mke: mchungaji Ivunje tu hii ndoa mimi nimechoka nilifikiri iko hivi. ============> kumbe iko hivi... ==> Mchungaji akashangaa!? Haya na wewe yapi yamekusibu? Mume: nibora 2achane mimi nilifikiri iko hivi.. {} kumbe iko hivi { }

hadi huku unapita? ila huku hatutafuti wachumba! vp maendeleo yako bibi Nothing4good
 
Mkuu mwenye makosa mume...maana iko ==> na mke iko hivi { } hivyo inapwaya,kama mume ingekuwa hivi ============> na mke { } ngoma inogile

Hapo ndo mwenye makosa mume au mke?:wink2::wink2::wink2:
 
what is the problem>wa masai wanauza dawa za kurefusha kwa mume na kuifanya tait ya kike
 
Kila siku mnaambiwa mjaribu kabla ya ndoa kuepusha matatizo hamkubali ona sasa tumechangia harusi kwenye ndoa ya wiki moja.
 
hahahaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiii moyo wangu mie!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom