Simuelewi huyu kaka

Nothing4good

Senior Member
Feb 19, 2011
180
55
Kuna kaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.

Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara kwa mara huwa mimi ndio nampigiaga simu nikikaa kimya inaweza ikapita wiki tatu bila mawasiliano.

Ikitokea tukionana ndo hujifanya ananipenda nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia simu yake amenisave nani, nilikuta kaandika heineken.

After all nikimwambia tuonane anataka tuonane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha? anakataa, nisaidieni nimwache mimi? Ni miezi 6 sasa lakini haeleweki.
 
Hapo jua wazi wewe ni spare tyre.so kama unaridhika kua spare tyre then shikilia.ila ili asikuumize kichwa na wewe mtafutie mwenzake
 
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

Kama hakupendi basi hana faida, tafuta anayekuhitaji na kukupenda...
Unapokaa na huyo huenda wapo wengine ambao wangekuhitaji lakini wanadhani upo committed.
 
wake up from your day dreaming, that is not love and I do not see why you cannot see the obvious hata uulize....jamani
 
kimbia hatari kama upo gongolamboto yani muda wowote lalipuka hil bi dada ......
mmh kimenichekesha ila kuniuma kusave number........heinken...........wewe sasa msave mataptap......then piga chin
 
Hivi yule Mwenza ulishampata ?
Tuwe tunapeana basi feedback ili tujue kama haya mambo yanawezekana
 
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

Pole sana Nothing4good.........huyo mkaka anahitaji kukuchezea tu, hana mpango wowote wa mahusiano ya muda mrefu!
You better forget about him....tulia, mwombe Mungu atakupa kijana mwingine mwaminifu! All the best...
 
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza

Nothing for Good jibu la swali unalo kwenye sentensi yako mwenyewe ya kwanza na nadhani umeshajua anachokitaka... Kwa ufupi hiyo miezi sita uliyokaa nae ni mingi sana..., huyu ungempiga chini wiki ya kwanza tu... Yaani hata hataki kujua Jina Lako :confused3::mmph: Hivi hii inawezekana kweli ?
 
kwanini ishindikane kwani we unavyo anzisha uhusiano unahitaji jina pale si unataka tu nanii sa jina la nini unaweza kumchagulia tu kama vileATM, VISA(hii inatoa huduma bora) etc etc
 
Kama ni uhusiano wa masaa mawili baada ya kukutana pale Bar hapo sawa..., lakini hii ya kukaa miezi sita ?, hebu niambie.., hata yule dada anyeniuzia chakula kila siku ninajua jina lake..., sembuse mtu ambae unapanga kuanzisha mahusiano...
 
pole kwa kula gengeni........teh teh isujekuwa wewe ni vodaFaster
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom